18. Unabii aliopewa Raymond Aguilera kuanzia tarehe 15 Desemba 1990 hadi tarehe 1 Januari 1991 katika lugha isiyoeleweka.

Tafsiri kutoka lugha isiiyoeleweka:

Mwito, Mwito, Mwito uko hapa. Mwito, Mwito, Mwito ambao ni. Mwito ule ambao ni. Mwito ule ambao ni

kwa maana najua ni wa nini. Kwa maana najua ni wa nini. Mwito ule ambao ni mdogo. Mwito ule ambao ni mdogo. Mwito ule ambao ni mdogo. (Lugha isiyoeleweka?)

Mwito ule mbaya ambao utakuja kutokea. Kwa maana hivyo ndivyo itakavyo tokea. Raya Wangu, Ray Wangu afanya kama ninavyo kuambia, jizatiti, jizatiti, jizatiti,

mwito, mwito. Mwito ule ambao Mimi ninao ufahamu. Mwito ule ninao ufahamu. Kwa maana mwito, Ray ninaoufahamu ni mdogo, ni mdogo.

Kwa maana mwito kwa maana naufahamu. Kwa maana Ray Wangu mwito Mimi ninaoufahamu umechanganyikiwa.

Mbaya, Mbaya ni ule mwito, ni mwito, ni mwito wa Allah. Mwito wa Allah. Mwito wa Allah. Mwito wa Allah. Ooh ndiyo, (Lugha isiyo eleweka?) Mbaya... kama nilivyo kuambia wewe!

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.