20. Unabii aliopewa Raymond Aguilera kati ya tarehe 15 Desemba 1990 hadi tarehe 1 Januari 1991 katika lugha ya Kihispaniola, na lugha isiyoeleweka.

Kihispaniola:

Alichoma nyumba. Alichoma nyumba. Alichoma nyumba ile. Alichoma nyumba ile ambayo Makasisi walikuwa wanaishi. Alivunja ile nyumba. Alichoma nyumba ile. Alichoma nyumba ile. Alichoma nyumba ile ya Makasisi.

Ndiyo! Ndiyo! Shetani, shetani alichoma katika tarehe, kwa kiberiti, kwa mwenge wa moto, kwa mwenge wa moto. Aah shetani alichoma. Alichoma nyumba, nyumba, kanisa, kanisa la Makasisi, kanisa.

Ndiyo, ndiyo na kwa tarehe, kwa kiberiti, kwa kiberiti. Aah moto, moto, moto, moto uliunguza Makasisi, na Bibli, na Biblia za Mungu, ya Mungu, ya Yesu Kristu, ya Yesu Krisstu, ya Roho Mtakatifu, ya Roho Mtakatifu.

Ndiyo! Shetani alichoma nyumba, nyumba, na nyumba.

Ndi, ndi, ndiyo, shetani alichoma nyumba ya Makasisi. Mimi, Mungu, Mungu, ninaenda kufanya…..

Naenda kutenda jambo hilo, jambo hilo hilo kwa shetani, kwa shetani, kwa maana aliwachoma Makasisi Wangu, Makasisi Wangu, na Biblia, na Biblia kwa moto, kwa moto.

Nami naenda kumtupa shetani kwenye shimo, kwenye shimo, kwenye shimo. Nami naenda kutumia moto ule ule, moto ule, moto ule ku… kumchoma shetani kwenye shimo, kwenye shimo. Moto ule aliyetumia kuwachoma Makasisi Wangu, Makasisi Wangu, Makasisi Wangu pamoja na Biblia, na Biblia miaka mingi iliyopita, miaka mingi iliyopita.

Ndiyo! Ndiyo katika nchi, katika nchi ya Milima, ya Milima, ya Milima ya Wtaliano, ya Wataliano, ya Wataliano, ya Wataliano, katika miaka ya 1500 hivi, katika mwaka 1532, 1532, 1532, katika milima, katika milima ya Wataliano, ya Wtaliano

Ndiyo, ndiyo moto, moto ule ule, moto ule ule Mimi naenda kumchoma shetani kwenye shimo, kwa kutumia moto ule ule.

Ooh, ooh alivyo mwovu. Alivyo mwovu shetani. Ooh jinsi alivyo mwovu yeye. Alivyo mwovu yeye. Alivyo mwovu yeye. Ooh, ndiyo (Lugha isiyo eleweka?)

Maoni:

Naamini kanisa pamoja na nyumba hiyo iliyounguzwa pamaoja na Makasisi ndani yake huko Italia inaitwa "La Cruzs of Santiago" katika mwaka wa 1532. (Misalaba ya Mtakatifu Yakobo katika mwaka 1532) nimeweka hiyo kama maoni kwa sababu sielewe mazingira na jinsi nilivyo pokea ujumbe huo, lakini ulikuwa kwenye mkanda wa kinasa sauti na katika sehemu hii ya mkanda wa kinasa sauti.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.