21. Unabii aliopewa na Raymond Aguilera kuanzia tarehe 15 Desemba 1990 hadi 1 Januari 1991 katika lugha ya Kihispaniola.

Je, vipi mambo yanaendeje Wanangu wa Kiume na wa Kike? Je, mamabo yaendeleje Wanagu wa Kiume na wa kike? Je, mamabo yaliendaje Wanangu wa Kiume? Ndiyo, je, mambo yaliendaje? Mambo yaliendaje?

Milango, Milango ya Mbinguni, ya Mbinguni, ya mbinguni. Ooh milango ya Mbinguni siyo mipana, siyo mipana, siyo mipana.

Ndiyo, Wanangu mijifunze, muijifunze Biblia. Mjifunze Biblia kwa maana Milango, Milango siyo mipana, siyo mipana, siyo mipana huko Mbinguni.

Jifunzeni, jifunzeni Wanangu wa Kiume, na wa Kike, kwa maana Baba yenu anawapenda. Kwa maana Baba yenu anawapenda kwa Moyo wake wote, kwa Moyo wake wote, kwa Moyo wake wote, kwa Moyo wake wote wa nyota, wa dunia, na wa kila kitu kitakacho kuwapo, na wa njia ile itakayo kuwapo.

Ooh ndiyo, Mimi ni Baba wa kila kitu. Ooh jifunzeni Biblia ili muweze kujifundisha. Ili muweza kujifundisha. Ili muweze kujifundisha kuhusu shetani, shetani ambaye ni mwovu sana. Yeye ni mwovu sana. Anataka kuwala ninyi. Anataka kuwala ninyi.

Jifunzeni Wanangu wa Kiume na wa Kike, jifunzeni. Huyu ni Mungu wenu. Huyu ni Mungu wenu. Huyu ni Mungu wenu pamoja na Mwanawenu, na Mwanawenu, na Mwanawenu na Roho Mtakatifu, na Roho Mtakatifu, na Roho Mtakatifu, Mwana Yesu, Mwana Yesu, Mwana Yesu, Kristu, Kristu, Kristu, Yesu, Yesu, Yesu.

Ni ngumu sana. Ni ngumu sana. Ni ngumu sana, shetani. Ni ngumu sana kwa shetani pamoja na Watakatifu Wangu.

Ndiyo, lakini wakati umewadia. Ni sheria, ni sheria ya Yesu, sheria ya Yesu, sheria ya Yesu.

Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi, wakti umewadia. Desemba 2, Desemba 2, vita vilianza, vita vilianza Mbinguni, Mbinguni.

Msaidianeni ninyi kwa ninyi. Msaidianeni ninyi kwa ninyi ndani ya mwili wa Kristo, mwili wa Kristo, mwili wa Kristo, Kanisa, Kanisa, Kanisa la Mungu, la Mungu.

Msaidianeni ninyi kwa ninyi. Msaidianeni ninyi kwa ninyi. Msigombane. Msigombane. Msigombane. Saidianeni ninyi kwa ninyi. Msaidianeni ninyi kwa ninnyi kwa maana wakati umefika, umefika. Tarehe amabayo nilisema miaka mingi iliyopita. Tarehe niliyosema miaka mingi iliyo pita.

Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikile Mimi! Nendeni kanisani, nendeni Kanisani, na mjifunze mjifunze Biblia, Biblia, Biblia na mle, na mle, na mle, na mle Komunio (mwili wa Bwana), Komunio, Komunio. Hilo ni la muhimu! Nila muhimu. Ni la muhimu Wanangu.

Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Tazameni, tazameni Mbiguni, Mbinguni. Mnitafute. Mimi niko hapa Mbinguni Baba yenu, Yesu wenu, Roho wako Mtakatifu.

Mniite Mimi! Mniite Mimi! Mniite mnijie Mimi ninyi na dhambi zenu, na dhambi zenu. Mniite Mimi! Mniite Mimi! Mniite Mimi! Kwa maana nataka kusikia dhambi zenu. Tubuni, Tubuni, Tubuni Wanangu wa Kiume na wa Kike.

Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi!Milango siyo mipana. Milango siyo mipana huko Mbinguni, huko Mbinguni. Nawapendeni sana. Nawapendeni sana, Wanangu wa Kiume na wa Kike. Ndiyo, Wananngu wa Kiume na wa Kike.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.