24. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 15 Desemba 1990 hadi 1 Januari 1991 katika Kiingereza.

Sikilizeni Maneno yangu. Sikilizeni Maneno yangu. Sikilizeni Maneno yangu. Kwani ninalowaambia ni muhimu. Kwani ninalosema ni muhimu. Sikilizeni Maneno yangu.

Wakati umefika, wakati umefika. Mjitayarishe wenyewe. Mjitayarishe wenyewe. Nawapenda sana. Nawapenda sana. Nawapenda sana. Mjitayarishe Wanangu wa kiume, Wanangu wa kike.

Kwa sababu nawapenda mno. Nawapenda mno. Angalieni angani. Oneni maajabu nitakayo waonyesheni. Maajabu nitakayo waonyesheni yatakuwa zaidi mtakayoweza kuamini.

Nawapenda mno. Mjipende wenyewe, mjifahamu wenyewe kiroho, na siyo kwa maneno tu. Mjifahamu wenyewe kwani Mimi nawafahamu ninyi. Nafahamu kilichoko ndani mwenu. Hamwezi kuni danganya Mimi!

Muwe waaminifu. Muwe waaminifu. Fanyeni yaliyo ya haki. Fanyeni yaliyo ya haki na mtaniweza kuniona Mimi mbinguni. Na mnamtaniona Mbinguni. Kwani siku ziko karibu, siku ziko karibu.

Nawapenda mno. Nawapenda mno, watoto Wangu, kondoo wangu wa kiume, wa kike. Msikilize Mchungaji wenu. Msikilize Mchungaji wenu.

Nawapenda mno, Nawapenda mno. Mkitafuta msaada mtapata. Mjitenge na uovu. Mjitenge na uovu.

Sikilizeni….Sikilizeni Wanangu Huyu ni Baba yenu. Huyu ni Baba yenu. Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi.

Pendaneni ninyi kwa ninyi kama Mwanangu alivyo wapenda ninyi. Kwani Kristu, Mpendwa wangu alikufa kwa ajili yenu. Pendaneni ninyi kwa ninyi kama Yeye alivyowa penda ninyi. Kama Mimi nilivyowapenda ninyi.

Msikilizeni Roho Mtakatifu. Msikilizeni Roho Mtakatifu. Kwani wakati na saa na siku zimewadia.

Mnisikilize Mimi! Mniskilize Mimi, Watoto Wangu! Nataka mje mbinguni. Nataka mje mbinguni. Kwa sababu nawapenda mno. Nawapenda mno.

Tafadhalini! Tafadhalini! Tafadhalini! Sikilizeni Maneno yangu. Sikilizeni maneno yangu muda umefika, muda umefika. Saa inaendelea kupiga kuhesabu kwa kupigapiga, saa inaendelea kuhesabu kwa kupigapiga.

Kwani Nawapenda mno, Kwani nawapenda mno. Angalieni ishara angani. Angalieni ishara angani. Angalieni ishara. Angalieni maajabu. Angalieni maajabu.

Mwangalie Kaka Yako. Mwangalie Kaka Yako. Mwangalie kaka yako.

Shika sheria yako. Shika sheria yako. Kwani sheria yako ni waokovu wako, ni wokovu wako. Fungua macho yako. Fungua Macho yako.

Lazima usikilize. Lazima usikilize. Lazima ufahamu ukweli, kwani ukweli. Iliyokuwapo, na iko, na itakayo kuwa.

Kwani Mimi ni Ukweli. Mimi ni Ukweli. Mimi ni ukweli. Kwani Mimi Ndimi, Mimi Ndimi. Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi.

Mpendeni Mwanangu. Mpendeni Mwanangu. Mpendeni Mwanangu. Kama anavyo wapendeni, kama anavyo wapendeni, kama anavyo wapendeni.

Amani na iwe nanyi. Amani na iwe nanyi. Amani na iwe nanyi. Kwani Nawapenda mno. Nawapenda mno. 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.