25. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 24 Desemba 1990 katika lugha ya Kiingereza, Kihispania na Ndimi/lugha asizozielewa.
Unabii na Matukio:
Nilikuwa na ongea tu na dada yangu kwenye simu tulikuwa tunafanya mapitio ya unabii wa ndimi zisizoeleweka ambazo zilikuwa zimerekodiwa muda mfupi uliopita. Hii ni Jumatatu yamkesha wa Krismasi, 1990. Kitufula cha kustusha kilitokea. Sielewi kwa vipi au ni nini kilitokea, lakini kwa njia fulani shetani aliingia ndani ya kinasa sauti na kufuta sehemu ya zilizo husu mambo ya silaha za Mungu katika kanda zangu za kunasia sauti.
Mungu alikuwa anawaambia watoto wake wote wavae silaha za Mungu, vaeni silaha za Mungu, vaeni silaha za Mungu, vaeni silaha za Mungu. Aliendelea kusisitiza tena na tena. Alisema ilikuwa ya muhimu sana. Ya muhimu sana kuvaa silaha za Mungu masaa ishirini na nne kila siku, asubuhi, mchana, na usiku. Kwa sababu shetani angeenda kukushambulia. Nakuwa huna kinga bila hizo silaha. Kuwa huna kinga bila silaha za Mungu.
Aliendelea kusisitiza hivyo tena na tena. Aliendelea kusema kuwa ni muhimu sana kujilinda wenyewe. Kujilinda wenyewe kwa kuvaa silaha za Mungu. Na asubuhi hii niliporudi kuangalia kanda zangu kujua jinsi ilivyo nasa sauti hiyo usiku uliopita nika kutahakuna kilicho naswa kwenye kanda. Namaanisha kuwa zilikuwa zimefutwa sehemu hiyo yote yote kabisa. Narudia tena kuwa Bwana alikuwa anasema "Wanangu, Kondoo Wangu wa kiume na wa kike
Wapendwa Wangu, VAENI SILAHA ZILE. Vaeni silaha!"
Vita vimefika na ninyi mko katikati ya mapambano! Mmenaswa katikati yake, na hamnayo kinga bila silaha. Hamnayo kinga kabisa kabisa bila silaha. MSIZIVUE HATA MARA MMOJA! Msizivue hata mara!! mmoja. Mzivae!, mzivae! Huo ndio ujumbe, sielewi kinaendelea nini hapa. Hivyo nilionelea ni rekodi kutoka kwenye kumbukumbu ya kichwa mapema wakati bado naikumbuka. Natumaini ni mkesha wa Krismas kwani nimepoteza hata majira kichwani. Nadhani hapo ndiyo kikomo, Krismasi njema kila mmoja wenu.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )