26. Unabii na maono ya tarehe 29, 1990, mchana.
Maono ya Kofia ya askari wa Kirumi. Niliposema "Roma" neno lililonijia ghafla ni "Katoliki" .
Kisha sauti iliyosema kuwa ni Baba ilisema kutakuwa na mabadiliko katika Kanisa la Katoliki ya Roma. Yakuwa kanisa katoliki itajifungua na kuwa wazi zaidi. Nakuwa itakuwa Karismatiki zaidi na kuwa itakuwa (simple) nyenyekevu na bila mbwembwe nyingi bila anasa. Nakuwa Kanisa katoliki itafanya zaidi na makanisa mengine. Nayakuwa kanisa katoliki itabadilika zaidi kiutaifa (racially).
Baba alisema Roho Mtakatifu ameanza kufanya mabadiliko ndani ya Kanisa Katoliki. Kuwa Kanisa hilo bado litabaki ya Kiroho, lakini itakuwa inashikamana zaidi na waumini wake. Alisema Roho Mtakatifu amekwisha anza kazi yake nakuwa Makanisa yote yatazidi kuungana zaidi.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )