27. Matukio Jumapili Usiku 2:35 Desemba 30, 1990.
Huu ni wendawazi, Mimi nimefurahi sana. Nilikuwa nimeshambuliwa dakika chache zilizopita. Shetani alijaribu kuninyongelea mbali kwakunitia woga wakati nilipokuwa nimelala. Ilikuwa kama gari moshi la zamani juu yangu ikitembea kuanzia vidole vyangu vya mguu hadi hadi shingoni. Iliachia kikiwa kimefanya kidevu chang kimevutwa na kufungwa kuelekea kwenye dari. Bwana Yesu aliizuia pale shingoni mwangu. Alinilinda. Aha najisikia vizuri sana. Najisikia vizuri sana. Najisikis vizuri sana. Alinilininda alinitetea.
Uwepo huu wa shetani uliniponda ponda kila mahali isipokuwa mikono na kichwa changu katika ulimwengu wa kiroho. Nilichokuwa nawekuki nyanyua ilikuwa mkono wangu wa kushoto, nanikaunyanyu juu na kumsifu Bwana Yesu Kristu. Nilimsifu Bwana Yesu Kristu. Niliendelea kumsifu nakumsifu. Niliendelea kusema "Nashambuliwa kwa ajili yako tena na tena, lakini nakupenda, Bwana Yesu Kristo. Nakupenda. Nakupenda. Nakupenda kwa Moyo wangu wote."
Nilitaka kukiondoa kitu hiki lakini hapakuwa na njia ya kufanya. Lakini kasha Bwana Yesu alikiondoa na kuniachilia mimi. Najisikia vizuri sana kwa ndani, kwa sababu sasa najua "Ilikuwa kweli". Najua ilikuwa kweli na wala siyo mawazo yangu, na Bwana yupamoja nami. Ee Bwana jinsi ninavyo kupenda. Najua sasa kwa hakika kuwa kila kitu ni ukweli nayauhakika. Siyo mawazo. Ee Bwana, kwa upande mwingine sielewi, lakini hakika roho zitaokolewa.
Nangelependa sana kama kila mtu angeelewa mambo ya ulimwengu wa kiroho, lakini huwezi kuelewa mpaka ushambuliwe kimwili. Kwa dakika hii naelewa ukweli wake. Shetani anajaribu kuniua, lakini Wewe Bwana hukumwachili. Bwana hukumwachilia, haijalishi kilitokea nini, lakini Bwana nakupenda sana. Bwana nitakupenda siku zote. Tutafanikiwa, sielewi kutoka wapi nitapata nguvu, lakini wewe utafanya ifanikiwe. Kwa njia Fulani au kwa mbinu Fulani Wewe utaifanikisha. Asante, Asante, Asante Bwana. Aleluya!
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )