28. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 14 Januari 91 katika Lugha, Kiingereza, na lugha asizozielewa.
Kiingereza:
Ee Binadamu, nilivyochoka. Ee Binadamu, Nimechoka. Zikiliza maneno Yangu. Binadamu! Nilivyochoka. Nimechoka Kuongea. Nakuambia, Nakuambia, na Ninakwambia, lakini unasikiliza? Unasikiliza? Binadamu! Hivi unataka nifanye nini ili Unisikilze. Sikilizeni Watoto wangu. Sikilizeni Wanangu. Huyu ni Baba yenu anaongea. Nawapenda. Nawapenda kwa moyo wangu wote.
Inabidi muangalie na muone. Inabidi msikie, muda ni karibu sana kuwadia. Muda ni karibu sana kuwadia. Sahihisheni meenendo yenu. Sahihisheni meenendo yenu, kwani nafasi mliyonayo ni ya mara mmoja tu, na kama hamsikilizi, na kama hamsikilizi, na kama hamtaachana na kile kicwa chako kigumu. Shetani atawapata/wanasa shetani atawapata Watoto wangu.
Tafadhalini sikilizeni Maneno yangu. Sikilizeni maneno Yangu. Tubuni, tubuni, tubuni wanangu. Ungameni dhambi zenu. Tafadhalini ungameni dhambi zenu, nami nitawasikiliza. Nitawasikiliza ila inabidi mfanye wenyewe, ninabidi mfanye wenyewe. Inawabidi mfanye wenyewe. Kwani hakuna atakaye weza kufanya kwa niaba yenu. Inabidi mtafute wokovu ninyi wenyewe. Nirahisi mno. Nirahisi ajabu Sielewi kwanini. Sielewi kwa nini. Sielewi kwanini mnaifanya kuwa ngumu.
Nawapenda mno. Nawapenda mno Wanangu. Oo Wangu, Nifanye nini? Niseme nini? Niwaonyeshee nini? Oo Watoto Wangu, Watoto Wangu, Nitakajafanya nikuendelea kujaribu, kuendelea kujaribu. Kwani Najua mwishowe nitawatoa, lakini kama tu ninyi… kwani wengi wenye ni vipofu wengi wenu ni viziwi. Mwezi kusikia, hamwezi kuona. Oo watu wa aina gani, vichwa vya aina gani, vichwa vigumi mno.
"Nawapenda ninyi. Kumbukeni hicho Nawapenda ninyi, Nawapenda ninyi, Nawapenda nyinyi Wanangu." Mgeukieni Yesu. Msikilizeni Mwanangu. Msikilizeni Mwanagu , Watoto Wangu. Yeye ni njia. Isikilizeni sheria. Isikilizeni sheria. Mpende jiranai yako, Mpende mama yako, baba yako, kaka yako, dada yako. Mfariji atakuonyeshe. Atakuonyeshea kile unacho hitaji kujua.
Wanangu mjiweka katika hali ya usafi. Muwe imara. Mjivike silahha za Mungu, wakati wote. Shetani, shetani atajaribu kuwanasa. Mjivike silaha za Mungu, masaa ishirini na nne kila siku. Msiivae silaha. Mniombe Mimi. Mniombe Mimi, Nami nitasikiliza. Mniombe Mimi, Mniombe Mimi. Ombeni msamaha. Ombeni msamaha.
Muwaombee kaka zenu, dada zenu. Ombeni kwa ajili ya kaka zenu na dada zenu. Leteni kanisa pamoja. Leteni Kanisa pamoja Muwe imara ndani ya Mwili mmoja wa kristu. Acheni kugombana ninyi kwa ninyi, acheni….. Mna Mungu mmoja tu, Mungu Mmoja, Yehova, Yahweh, Yesu Kristu wa Nazareti na Roho Mtakatifu. Unganeni, unganisheni Mwili wa Kristu. Yasikilizeni maneno yangu, yasikilizeni maneno yangu. Unganisheni mwili wa Kristu, fanyeni kazi kwa pamoja, acheni kugombana.
Fungueni macho. Fungueni masikio yenu, Mwisho unakuja. Utfika tu penda msipende. Utakuja tu. Kwa namna, kwa njia ambayo hakuna atakaye wezakujua ila Mimi tu. Mimi ni Yehova, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi. Msikilizeni Mwanangu. Msikilizeni Roho Mtakatifu. Watawaonyesheeni. Watawaelekezeni.
Mwanangu anawapenda. Nilipeni ninyi Kwake. Atawasaidieni. Atawasaidieni. Huyu ni Baba yenu. Huyu ni Baba yenu. Unganisheni Mwili wa Kristu. Unganisheni Mwili wa Kristu. (Lugha nisiyoielewa)
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )