29. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 14 Januari 91 katika lugha, Kiingereza na lugha asizozielewa.

Kiingereza:

Ndiyo Mtu, Una hali gani leo?Una hali gani leo Mtu? Nakupenda weye. Kwa kweli Ndiyo. Mtu na kupenda weye kweli. Oo Mtu, nakupenda.Mtu, Nakupenda sana. Niseme nini Mtu?

Unafanya….., unafanya moyo wangu upige pige kwa nguvu kila wakati ninapokufikiria kuhusu wewe. Kwa hakika unaufanya hivyo Mtu! Hakuna ila uzuri.Haukuna kingine ila uzuri ninapo fikiria habari yako.Naam, Naam, Wazuri Wangu.Naam, Wazuri Wangu ni wazuri. Oo nawapenda sana.

Wanajaribu sana japo wanaanguka. Wanaanguka mara kwa mara lakini ninawanyanyua, kwa sababu najua mioyo yao. Mioyo yao ni mizuri. Mioyo yao ni safi. Naam. Oo Nawapenda sana. Naam Mtu, Nawapenda sana, Mtu! Mtu! Napenda niwakumbatie. Napenda ningemkumbatia kila mmoja wenu muda wote.Muda wote, napenda kuwakumbatia ninyi, Mtu. Napenda kuwa kumbatia. Lakini wakati mwingine inabidi niwaachieni, Inanibidi niwaachieni. Inabidi niwaachieni. Inabidi niwaachieni mfanye mnachotaka kufanya, mtu, lakini najua mtu. Najua mtanigeukia, najua mtanigeukia.

Najua, Najua, Najua mioyo yenu. Najua mioyo yenu mtu. Ni ngumu, ni ngumu kuona mnaanguka mara nyingine, lakini Mimi niko hapo karibu. Ndiyo maana nilimtuma mfariji. Nilimtuma mfariji, Mtu! Roho Mtakatifu.

Naam, Naam. Yesu anakuenda weye mtu, Yesu anakupenda wewe, huyo ni Mwanangu. Huyo ni mwanangu Yesu, Naam! Anafanya vita kwa niaba yako weye mtu. Naam anafanya vita kwa niaba yenu. Anawapenda ninyi. Angeeni Naye, Mtu! Ongea naye! Nirahisi sana, mtu. Nirahisi.Unajua vita…., Vita vinaendelea. Naam vinaendelea, mtu. Yesu anashughuli nyingi, mtu. Anashughuli nyingi kweli, lakini siyo nyingi sana kiasi cha kushindwa kukusaidia. Hata kidogo! hata kidogo! Oo ndiyo, Anakupenda sana, mtu! Anakupenda sana.

Ningependa…, Ningependa ungefahamu ninachojaribu kukuambia. Ningependa unge…, Ningependa ungefungua masikio yale, na macho yale. Ningependa ungetugusa Sisi, nakuungana Nasi, ungenisha Roho zetu na wewe. Kisha ungejua uzuri wa upendo, uzuri wa upendo.

Lakini inabidi uachane na yule binadamu mchafu wa ubinafsi, mtu. Inakubidi uachane na ule mwili mchafu. Lazima ufikirie mema. Lazima ufikirie mema. Inakubidi ufanye kilicho cha haki. Listen to Me, Sons and Daughters. Inakubidi Unisikilize Mimi. Huyu ni Baba yako. Huyu ni Baba yako, mtu. NAKUPENDA! Nakupenda!

Msikilize Mfariji. Msikilize mafariji. Mtu, Roho mtakatifu atakufundisha. Atakufundisha njia zote za haki, Lakini inakubidi usikilize, inakubidi usikilize, mtu! Kuna watu watakao kwenda kujaribu kukuyumbisha kushoto na kulia. Lakini mtu, wewe msikilize tu Mfariji, na uombe/sali. Omba kwa moyo wako, kwa nafsi yako, mtu.

Utupate Sisi, mtu! Sisi tuko pale! Sisi tuko hapo Mtu! Tunakupenda. Hatuta kuacha kamwe "youch." Hata mara mmoja hatutakuacha kamwe "youch." Kwani tunakupenda wewe. Tunakupenda wewe. Lakini muda ndio umetutupa mkono. Mtu, muda umetutupa mkono. Sikiliza dhamiri yako. Msikilize Roho wako Mtakatifu akiongea nawe, sikiliza moyo wako. Msikilize ndugu yako. Msikilize jirani yako. Mpendaneni ninyi kwa ninyi, penda tu, penda, penda, penda, na utarudishiwa upendo. Utarudishiwa upendo. Lugha ngeni asiyoielewa. 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.