30. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 14 Januari 91 katika ligha, Kihispania, na Lugha zisizoeleweka.
Kihispani:
Ilichomwa, ilichomwa, ndiyo,alichoma. alichoma, Ah ndiyo alichoma, alichoma, aliwachoma Makasisi. Aliwachoma, aliwachoma Makasisi Aliwachoma Makasisi.
Ndiyo. Ah ndiyo, ni aibu gani. Ni aibu gani. Aliwachoma, aliwachoma Makasisi. Nyumba, nyumba, ndani ya nyumba.
Aha, yeye ni mbaya. Ah yeye ni mbaya. Ah alivyombaya. Alivyo mbaya shetani. Alivyo mbaya. Alivyo mbaya.
Oo Makasis wangu, watawa wangu (masista). Oo kanisa langu, Kanisa langu, Oo, Kanisa langu, siku ile, siku ile, siku ile, Oo, Oo siku ile, inakuja sasa. Siku ile inakuja sasa.
Ndiyo, Ndiyo Wanangu wa Kiume, ndiyo Wanangu wa Kike siku ile inakuja, siku ile. Angalieni angani Wanangu wa Kike na wa kiume. Inakuja.
Oo, mnakwenda kutishika. Mtakwenda kuogopeshwa. Mtakwenda kuogopa. Ah inakuja, siku inakuja. Siku inakuja Oo Wanangu wa Kiume na wa kike.
Oo, tishikeni sana, tishikeni sana, tishikeni sana, kwa sababu inakuja. Inakuja.
Oo, Wapendwa Wangu, Wapendwa Wangu, Oo! Oo! Oo! Oo! Oo! Nawapenda mno. Nawapenda mno. Lugha isiyoeleweka.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )