31. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 14 Januari 91 katika ndimi, Ki-Spaniola na ndimi zisizoeleweka.
Ki-Spaniola:
Nitaunguza, Nitaunguza, Nitaunguza, Nitaunguza anga, Nitaunguza anga Wanangu na Binti zangu.
Nisikie! Nisikie!, Kwa masikio yako yote, kwa moyo wako. nitaunguza, Atakuja kuunguza. Atakuja kuunguza ulimwengu. Yeye. Yeye. Yeye.Yeye atakuja kuunguza ulimwengu.
Nisikie, Wanangu na Binti zangu. Huyu ni Mungu wako. Huyu ni Mungu wako. Atakuja kuunguza ulimwengu kwa nyota, kwa kipande, kwa kipande cha nyota.
Itakuja kuunguza ulimwengu katika elfu, katika elfu, katika elfu na kwa miaka mingi
Nisikie! Nisikie! Nisikie!, katika elfu, na katika miaka mingi, katika elfu, na katika miaka mingi, kwa kipande, kwa kipande cha nyota ya angani, ya angani. Itakuja. Itakuja.
Oh Wanangu, oh Wanangu na Binti zangu. Nisikie! Nisikie, kwa masikio yako kwani imekwishaanza, imekishaanza na hakuna, hakuna kinachoweza kuzuia kitakachotokea.
Kwa kuwa mimi ndimi Haki. Mimi ndimi Kweli. Mimi ni baba yako pamoja na mwanagu Yesu, na Roho Mtakatifu. Nisikie! Nisikie! Nisikie!, Wanangu na Binti zangu.
Nisikie! Nisikie! Imekwishaanza. Imekwishaanza vita ya kwanza, vita ya kwanza, na vita ya pili pia, lakini itakuja kuwa wakati mmoja baadae, lakini nimekwishaanza kipande, kipande cha nyota kinakuja sasa. kinakuja, angalia angani. Angalia angani uone, na ukitafute. Na kama utatazama kwa uangalifu utajua kuwa ninachosema ni kweli.
Ni kweli kwa sababu mimi ni Mungu wako. Na Mungu ni kweli . Yeye ni haki. Yeye ni haki kwani ndimi ndimi, ndimi. Ndimi kila kilichopo, kilichopo, kilichopo, na kitakachokuja, na kitakachokuja ndimi vyote vitakavyokuja, na nilivyovifanya. Hakuna ulimwenguni, angani, katika mbingu hakuna ambacho sio mimi. Kwa kuwa mimi ni kila kitu, lakini Wanangu na binti zangu, nilicho- waambia kwenye biblia kipo hapa. Kipo hapa. Kipo hapa kipo hapa
Imeanza, vita, wakati umetimia, na wakati mwingine ujao, Nimekwisha ianzisha. Nimekwisha ianzishaWanangu na Binti zangu. Kwa kuwa ndimi Baba yenu. Na nataka wote mjue. "wote", Nataka mjuen kabla, ili muweze kujiandaa na roho zenu. Ili mjiandae na roho zenu, na kwa njia hiyo hamtaweza kuogopa. Kwani mtakuja kuogopa. Hata wale wanaompenda Yesu wataogopa.
Wakati umefika, ambao nilisema. Oh, ambao nilisema, wa siku, wa siku ambayo nilifanya kila kitu. Wakati kila kitu kimefanywa, wakati kila kitu kimefanywa, na baadae mnaweza kunifuata, pamoja na Mwanangu, na Roho Mtakatifu. Na baadae tutaanza tena na roho safi, safi.
Lakini wakati huu vitadumu wote uliopo mbinguni, duniani, uliokuwapo, na zaidi, na zaidi, na zaidi, na muda zaidi ya ule uliowahi kuuwazia, au kuujua, or comprehend. Kwani ndimi Mungu wako. Ndimi Mungu wako, na neon langu ni neno la Haki, na neon ambalo ni kweli.
Nisikie!, Wanangu na Binti zangu, Kwani kila kitu kimeanza. Nimekwisha anzisha kila kitu, na unisikie. Wote wanaotaka kuja wanisikie. Kila mmoja anayo nafasi, kila mmoja anayo nafasi, lakini wale wenye vichwa vigumu. Wale wenye vichwa vigumu hawana nafasi kwani ni vipofu. Ni vipofu Wanangu na Binti zangu. Na siwezi kuwasaidia kwa kuwa ni vipofu.
Nisikie! Nisikie! Nisikie! Huyu ni Baba yako. Huyu ni Baba yako, Jehova, Jehova, Jehova, Ndimi, Ndimi, Ndimi, Ndimi. Nisikie! Nisikie, Wanangu na Binti zangu. Tazama nyota. Tazama nyota. Tazama nyota. "Tazama." Imekwisha anzisha vita ya kwanza, vita ya kwanza, lakini inakuja vita ya pili, moja kwa moja.
Moja kwa moja, Kwani nataka tu kile kilicho safi, kilicho safi Wanangu na Binti zangu, tubuni, tubuni dhambi zenu. Ongea nami. Ongea nami, na ongea na Yesu, Yesu Mfalme wenu, Mfalme wenu, Yesu, Yesu Mfalme wenu wa dunia, Mfalme wa dunia, Yesu. Yesu, Yesu, Mfalme wenu wa dunia ni Yesu, Yesu.
Nisikie! Nisikie! Roho Mtakatifu anawasidia kusafisha masikio yenu, na kufumbua macho yenu. Kwani mimi ni baba yenu. Nyota inakuja. Kipande, Kipande cha nyota. Angalia, kinakuja. Nawapenda sana. Nawapenda sana, Kwa moyo wote Wanangu na Binti zangu, Nawapenda. Lakini nafasi, nafasi ni mara moja tu, Mara moja tu.
Nisikie! Nisikie! Nisikie! Nisikie! Imekwisha anza. Imekwisha anza Wanangu na Binti zangu. Someni Biblia. Someni Biblia, na itawaambia yote niliyosema kuwa ni kweli. Kwani ipo kwenye Biblia, kwenye Biblia, kwenye Biblia. Someni Biblia, na mtakuja kuogopa. Mtakuja kuogopa. Yatatokea matetemeko, dhoruba nyingi, ishara nyingi, ishara nyingi, bahari, bahari itasogea juu na chini, juu na chini.
Tazama bahari. Tazama bahari, na barafu, na barafu baharini itasogea. Itasogea, barafu ya baharini, barafu ya kaskazini na kusini , ya kusini. Barafu itasogea kwasababu nilisema ishara, ishara zitakuwa. Kwa sababu mimi ni Mungu wako,Mimi ni Mungu wako, na yote nisemayo yatatokea. Kwa sababu mimi ni Baba yenu. Mimi ni Baba yenu
Angalia ishara. Angalieni ishara Wanangu na Binti zangu, kipande cha nyota sasa kinakuja. Kinakuja sasa. kinakuja, wakati, ule niliowaambia mababa, wa mababa wamababa. kwani nilisema kweli nayo kweli utakuwa. Kwani Ndimi Pekee Mungu wa kila kitu, wa kila kitu kilichokuwepo kilichopo na kitakachokuwepo. Kwani nimekuwa nikiwepo, kabla ya kuwepo chochote, pamoja na Mwanangu na Roho Mtakatifu.
Huu sio mchezo. Sio kitu cha kuchezea. Huwezi kukichezea kwa sababu kipo wazi. Huu ni ukweli, nisemacho. Ninachosema kitatokea. Mtaogopa. Mtaogopa nyakati zote hali ya hewa ya dunia itakapobadilika. Itabadilika, wakati inapotakiwa kuwa baridi, haitakuwa baridi, itapata joto. Wakati inapotakiwa kuwa joto, itapata baridi.
Wakati inapotakiwa kunyesha, itanyesha wakati hutegemei inyeshe. Kutakuwepo dhoruba. Kutakuwepo dhoruba duniani kote. Itakuwa kali, kali sana. Hamtaweza kujificha wenyewe. Kwani kinachopaswa kutokea kitatokea. Kwani nataka, Nataka, Naitaka kwa ajili ya Mwanangu. Nilimwambia Mwanangu kuwa Watakatifu wote ambao ni safi ni wa kwake, ni wa kwake.
Na siku zimepita, miaka mingi imepita zamani za kale nilipoweka maji katika bahari duniani. Sasa umeanza wakati, sawa na ulivyoanza kabla ya Biblia, lakini sasa itaanza na matetemeko, pamoja na dhoruba, , pamoja na hali ya hewa. Pamoja na hali ya hewa ambayo itabadilika. Wakati msiotegemea kubadilika, itabadilika. Itakuja kuwa baridi na joto, baridi na joto wakati hutarajii iwe hivyo.
Na barafu zote Kaskazini na Kusini zitatembea. Zitasogea. Bahari itakwenda juu na chini, na juu na chini, na dunia nyote itasogea. Hamtafahamu. Mtafikiri itakuwa hivi lakini haitakuwa. Itakuwa tofauti. Mtaogopa kila mtu, Maraisi wote, Wafalme, Watu , Magavana, watu wote wanaofikiri kuwa wanajua vyote, nao pia wataudhika.
Kwani watatambua kuwa mimi ni Mungu wa nyota zote, za dunia, na kila kitu, kilichopo, na kitakachokuwepo. Kwa kuwa nitaogopesha kila mtu ambaye haamini Biblia, Nao watataka, watataka kuchimba shimo wajifiche wenyewe. Kwa kuwa vitu vyote vitakavyotokea nilivyowaambia sasa, vitachimba shimo vijifiche.
Ndio, ndio. Upepo, Upepo wa dhoruba utakuja, na hamtajua ni lini. itaanza, itaanza, Wanangu na Binti zangu. Kila kilichopo duniani, dhoruba itaharibu nyumba, itaharibu kila kitu, na hakuna atakayeweza kuzuia hiyo dhoruba. Hizo dhoruba zitawaogopeshana matetemeko yatawaogopesha, kwa kuwa sasa kila kitu nilichokisema kimekwishaanza.
Ogopeni, ogopeni, unakuja mdomo utakaomeza kila kitu. Unakuja mdomo usio na meno kurarua, kutafuna tafuna dunia, kama tofaa, kama tofaa. Kurarua dunia kama tofaa, na kila kitu kitakapokuwa kimeliwa, nitaanza na dunia mpya. Lakini ni wale Watakatifu tu waliosafishwa na Roho Mtakatifu. Oh, watateseka pia, lakini inabidi, lazima itokee, lakini watafuatana nami mbinguni pamoja na mwanangu. Oh, Moyo unaniuma, Moyo unaniuma, Moyo unaniuma, lakini sheria, sheria lazima itimie.
Nisikieni! Nisikieni! Huyu ni baba yenu. Huyu ni Baba yenu, Mungu wenu, Mungu wenu, Mungu wenu. Ndimi zisizoeleweka.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )