32. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 21 Januari 91 kwa lugha Ki - Kihispania.

Nini kilimnguza Mwanangu? Nini kiliwaunguza Wanangu, Wanangu?

Nisikieni Mimi, Nisikieni Mimi, Wanangu, na Mabinti zangu. Looh, hamjambo? Hamjambo Wanangu wa Kiume na wa Kike? Ninawapenda sana. Ninawapenda sana. Ninawapenda kwa moyo Wangu wote Wanangu na Mabinti zangu.

Oh ndiyo, ni ya dhamani kiasi gani. Ni ya dhamani kiasi gani. Looh Wanangu, Wanangu, Wanangu, na Wanangu, Binti zangu, Binti zangu na Binti zangu. Looh, muwengi sana, muwengi sana. Oh ndiyo!

Huyu ni Baba yenu, huyu ni Baba yenu kutoka Mbinguni. Ndiyo, pamoja na Malaika zangu, na Mwanangu, Mwanangu Yesu, na Roho Mtakatifu, Tupo hapa, Sisi Sote. Tukitazama, tukiwatazama ninyi. Tukitazama pamoja na mikono Yangu pale, na mikono juu. Tazama! Nitazame! Nitazame. Nipo hapa, nipo hapa. Ndiyo, ndiyo pale kuna Wanangu na Binti zangu.

Tazama Mungu, tazama Mungu, Hapa wapo, wote, wote. Nitawapeni, Nitawapeni ninyi wote. Nitawapeni ninyi wote, wote walio wazuri, na walio safi, walio safi, lakini lazima wawe safi.

Oh, ni Takatifu kiasi gani. Ni Takatifu kiasi gani. Oh Wanangu, Wanangu tazameni, tazama, tazama. Someni Biblia. Someni Biblia. Wakati sasa unakuja, wakaati sasa unakuja Wanangu, na Binti zangu. Oh ni Takatifu kiasi gani, ni Takatifu kiasi gani, ni Takatifu kiasi gani.

Oh Wanangu, mnapswa mnisikie Mimi! Mnapaswa mnisikie Mimi! Roho Mtakatifu atawaonesha. Atawaonesha, mwili, mwili wa kanisa la Mungu, mwili wa kanisa la Mungu, mwili wa kanisa la Mungu. Atawaonesha kila kitu. Atawaonesha kila kitu.

Lakini ninyi, mnapaswa kusikia. Mnapaswa kusikia kwa masikio yenu. Mnapaswa kuona, mnapaswa kuona Wanangu na Binti zangu. Nitazameni Mimi! Nitazameni Mimi! Naongea na ninyi. Naongea na ninyi. Mnapaswa kusikia. Mnapaswa kusikia.

Oh, ni aibu gani! Ni aibu gani! Oh, ni aibu gani! Tazameni Wanangu, Ninawaambia ukweli. Mnapaswa kusikia. Ninawaambia kutoka moyoni. Ninawaambia kutoka moyoni.

Harakisha, tazama! Nataka usimame pale mwenyewe, na nataka ufikiri. Nataka ufikiri kwa kichwa chako. Sitaki ufikirie kingine,bali Mimi. Nataka unifikirie Mimi.

Tazama, nitazame Mimi! Nitazame Mimi! Niwaambie nini? Oh, ni aibu gani. Oh ni aibu gani, hamnitafuti Mimi. Hamnitafuti Mimi. Kama hamnitafuti Mimi, Sitaweza kuwasaidia.

Tazama! Tazama! Nenda chumbani mwenyewe. Nenda chumbani, ufunge mlango. Usimsikilize yeyote, bali Mimi. Sali, Sali kwa moyo, Sali kwa moyo, kwa maandalizi kuanzia kichwani hadi kupapa papa kwa damu, pamoja na sala zote usemazo. Kwani hiyo ndiyo namna utakavyofanya ili kusali kujiokoa, kujiokoa.

Kwa kuwa umefika ule wakati niliowaambia. Niliowaambia Mababa wa Baba zenuNataka msali chumbani peke yenu milango ikiwa imefungwa

Nisikieni Mimi! Nisikieni Mimi! Nisikieni Mimi! Msisikilize wengine, ila mimi. Hapana, sio na kaka yako, au dada, ni wewe tu, peke yako, Sali peke yako! Na uniguse Mimi. Niguse Mimi kwa moyo wako, na kwa roho yako.

Kwa kuwa nipo, Nipo pale juu yako. Nipo pale kwa upande mmoja, na upande wa pili, mbele yako, na nyuma yako. Nipo kila mahali. Nipo kila mahali Mwanangu na Binti yangu.

Tazama, nenda chumbani kwako, funga mlango, funga madirisha, funga kila kitu, miziki, funga kila kitu. Oh, Ni ukimya tu pamoja na Mimi. Katika ukimya na Mimi, pamoja na Roho wako Mtakatifu, na nitakusikia, Nitakusikia, Nitakusikia, wanangu na Binti zangu.

Lakini...., Lakini Mimi sipendi kuona wewe unatembea ukiwa umeweka kifua chako mbele na kujidai kuamini kuwa unajua yote. Sipendi hivyo. Sipendi hivyo. Sipendi mtu yeyote, mtu yeyote, hatakama ni Mchungaji au Kasisi ambaye anaenda huku na huku akitembea kana kwamba anajua yote, akiwa ametutumua kifua chake mbele.

Looh, ni maasi. Ni uasi gani ninapo waona watu wa aina hiyo, kwani hawajui lolote. Wana amini wanajua yote kumbe hawajui lolote. Yote watakaye kuja kujua ni shimo la Jehanamu. Yote watakayo kuja kujua ni lile Shimo.

Kwa maana Mimi ni Baba. Mimi ni Baba wa yote. Na Mimi najua nini kitakuja kutokea. Inabidi kuwa waangalifu sana, ina bidi muwe waangalifu na Makasisi wale wanao amini kuwa wanajua yote, na wale wanao endesha Makanisa. Kwa maana watakuja kung’amua kuwa Shimo liko karibu sana. Shimo liko karibu.

Kwa maana kifua, kifua, na akili ya kifua itakuja kufahamu kuwa Shimo liko pale. Kwa maana hakuna mtu ajuaye kitu, ila Baba wa Mbinguni, pamoja na Roho Mtakatifu, na Mwanangu Yesu.

Hayo ni yote! Hayo ni yote, ninayotaka kuwaambia, muwe waangalifu sana, muwe waangalifu sana! Kwa maana wapo wengi wanaodhania kuwa wanajua yote, na kumbe hawa fahamu lolote. Nataka kila mmoja wenu muombe peke yenu vyumbani mwenu, pamoja na Roho Mtakatifu.

mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Huyu ni Baba yenu. Baba yenu wa kila kitu kilichokuwapo, vilivyoko, vyote vitakavyo kuwapo. Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi.

Mniangalie Mimi! Mnisikilize Mimi! Mniangalie Mimi. Mnisikilize Mimi! Fungueni Macho yenu. Fungueni macho. Fungueni masikio yenu. Elekezeni masikio yenu yaliyeko vichwani mwenu pamoja na akili zenu pamoja na macho yenu (Kwangu). Kwa maana Mimi ni Baba yenu. Baba wa kila kitu.

Ombeni, Ombeni ninyi nyote kwa pamoja. Ndiyo, Mimi pia napenda sana wakati wote mnapo omba kwa pamoja, Mimi napenda hivyo pia. Kwa maana Mimi nitawasikiliza.

Lakini angalieni, mjihadhari na vifua vyenu hivyo, mjihadhari na vifua vyenu, kwa maana Mimi sipendi wale wanaojidai kuamini kuwa wanajua yote. Sipendi hivyo, kwa maana hakuna hata mtu mmoja ajuaye, ila Baba.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.