33. Unabii aliopew Raymond Aguilera tarehe 21 Januari 91 katika lugha ya Kiingereza.

Mbinguni, Mbinguni, Mbinguni. Mwanangu, Mwanangu, Mwanangu Mbinguni. Anajua kila kitu. Anajua kila kitu ila Watoto Wangu, Watoto Wangu Mnisikilize. Mnisikilize. Sasa naongea na ninyi. Naongea nanyi moja kwa moja. Naongea nanyi kama Baba. Sasa sikiloizeni. Sasa sikilizeni.

Wakati mnaposali/omba, wakati mnaposali/omba Watoto Wangu; Nendeni ndani ya chumba, Nendeni sehemu ya siri. Kisha funga mlango, vuta pazia, funga madirisha. Zima televisheni/Runinga. Funga ile redio. Sasa Unisikilize. Usali/uombe, uombe kwa moyo wako wote Kwangu, Uniombe Mimi kwa Moyo wako na nafsi yako yote

Nitakusikiliza, Nitakusikiliza. Kwa sababu kunausumbifu mwingi, kunausumbufu mwingi mliojiwekea katika dunia hii, mtu mliojiwekea. Mnisikilize Watoto Wangu. Mnisikilize Watoto Wangu. Wakati mnapo Sali, Sali kutoka moyoni na wala siyo kutoka kwenye akili zenu. Sali kutoka kwenye mioyo yenu, mioyo ya nafsi zenu.

Huyu ni Baba yenu. Huyu ni Baba yenu Yehova. Huyu ni Baba yenu Yehova. Mnisikilize Wanangu. Laiti mngelifahamu. Laiti mngelitabua jinsi ninavyo wapenda ninyi. Nawapenda zaidi. Nawapenda zaidi ya ninyi mnavyo weza kupenda mtu yeyote; zaidi ya mnavyoweza kuwapenda wake zenu, zaidi ya mnavyoweza kuwapenda watoto wenu. Zaidi ya mnavyoweza kupenda nyumba zenu. Zaidi mnvyoweza kuipenda ile gari yako na boti yako; zaidi ya mnavoweza kuipenda zile fedha zako; zaidi ya mnavyoweza kupenda kitu chochote. Hayo yote hayawezi kulinganishwa hata kidogo na jinsi Ninavyo Wapenda ninyi. Jinsi Ninavyo wapenda pamoja na Mwanangu Yesu Kristu, na Roho Mtakatifu.

Mnisikilize Mimi Wanangu. Mnisikilize Mimi Watoto wangu. Unakuja wakati ambako mtatishika. Mtakuja kutishika sana, lakini Mimi nitkuwa nanyi pale. Ombeni kwa Yesu. Ombeni kwa Yesu. Yeye ni Mfalme wenu. Yeye ni Mfalme wenu. Yeye ni Mfalme wa dunia. Yeye ni Mwanangu. Yeye ni Mwanangu.

Mnisikilize Mimi. Mnisikilize mimi. Nenda kwenye chumba chako. Funga Mlango. Vuta pazia. Fungua Biblia au funga biblia. Hajalishi, Ilakaa pale Uniombe. Niombe Mimi. Niombe Mimi. Uniombe Mimi kwa Moyo wako na Nafsi yako. Kisha unaweza kufungua Biblia na kuisoma. Haijalishi unasoma kwa mpanglio upi.

Ila usikilize. Sikiliza. Nakusikiliza wewe kwa upendo wa Upendo wa Moyo wangu. Kwa upendo wa Moyo Wangu. Mtu laiti ungemwelewa, ungemwelewa Mwanangu, Mwanangu, Mwanangu yuko pale. Yuko pale pamoja nawe. Yuko vitani sasa. Anapigana vitani sasa. Anawapiga mapepo sasa. Anapigana na shetani.

Lakini unisikilize Mimi. Unisikilize Mimi. Fungua masikio yale. Vita vya kwanza, Vita vya kwanza vimeanza. Desemba 2, Desemba 2, 1990, Desemba 2, Desemba 2, 1990 Ipandikize akilini mwako. Ipandikize akilini mwako kwa jinsi unavyotaka. Chora katika kope za macho yako. Sijali utakavyoiweka. Huo ulikuwa ndio mwanzo, huo ulikuwa mwanzo wa Vita vya kwanza.

Vita vya kwanza, lakini sikilizeni, nilianza vita vya pili pia. Vita vya pili viko njiani. Vitafika hapa baada ya miaka elfu pamoja miaka mingi, miaka elfu pamoja na miaka mingi ijayo. Sitawaambia wakti kamili. Sipendi kuwa eleza wakati kamili. Sitaki kuwaeleza wakati kamili kwa sababu nikiwaambia mtajisikia salama. Kisha mnatarajia vitu (wakati), na kutarajia vitu (wakati) nakuanza kuwa wavivu. Sintawaambia wakati kamili na saa, lakini viko njiani, viko njiani. Nilivituma, nilivituma, na vinakuja, na vinakuja, kuna kipande cha nyota kinakuja, kuna kipande cha nyota kinakuja kwenu watoto wangu. Ndiyo mtakwenda kutishika. Mtakuja kuoga. Mtakuja kustuka.

Mnisikilize watoto Wangu. Nendeni ndani ya chumba kile na msali. Sali peke yako. Sali peke yako. Sali mpaka moyo wako uzimie kwani hiyo ndiyo aina ya sala mtakayohitaji. Hiyo ndiyo sala mtakayo hitaji ili kupata amani moyoni mwenu wakati kwani muda mambo hayo yatakapoanza. Kwani muda wakati mambo hayo yatakapoanza huo utakuwa ndio wokovu pekee utakao kuwa nao.

Ukisha maliza hayo leta mama yako, kaka yako, dada zako. Leta familia yako na wanao wa kiume na kike na muende kwenye kile chumba fungeni mlango na kisha salini ile mioyo yenu mpaka imezimia kwani hiyo ndiyo njia pekee. Hiyo ndiyo njia pekee ya kupata amani katika siku hizo za dhiki kuu. Namaanisha dhiki kuu ya dunia. Dunia unayo dhania unaifahamu itakwenda kufanya vitu vya uwenda wazimu, kwa vyovyote kikwako utadhania kuwa ni uwenda wazimu lakini hayo yote yanafanyika kufuatia Mipango Yangu, Mipango Yangu, Mipango Yangu niliyo sema kwa Baba zenu Miaka mingi, Miaka mingi iliyopita huko nyuma.

Sasa Mnisikilize Mimi, mnisikilize Mimi. Tegani masikio! Sikilizeni! Tegeni masikio Watoto Wangu! Huyu ni Baba yenu. Huyu ni Baba yenu. Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi ni Yehova, Yahwe, Yahawe, Yahwe, pamoja na Mwanangu, na Roho Mtakatifu. Siwezi kuieleza kwa uwazi na urahisi zaidi ya hivi nilivyosema.

Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Je, niseme mara ngapi ilimnielewe? Mjitulize. Mnyamaze na Msikilize Ninayowaambia sasa, kwani dhiki itakapofika mtakuwa mmechelewa sana. Na yote mtakayo kuwa nayo ni ile Biblia, Mimi, Yesu na Roho Mtakatifu. Kusanya familia yako baada ya wewe kumaliza kusali mwenyewe. Weka familia katika kile chumba , kusanya familia katika chumba na uwashe mshumaa, washa mshumaa mmoja. Mshumaa utakao kuwa unawakilisha Baba yako, Mwana, Roho Mtakatifu. Weka mshumaa mahali popote unapotaka kuweka. Huo ni ukumbusho, huo ni ukumbusho kuwa niko njiani kuchukua Watoto Wangu, Kondoo Wangu wa kiume na wa Kike Mbinguni pamoja Nami.

Lakini kumbukeni, kumbukeni fujo na machafuko yatakayotokea dunia hii. Hali ya hewa ya dunia itakwenda kubadilika. Mawimbi ya bahari yatapaa juu sana na chini sana. Yatakwenda juu na chini siyo kama mlivyozoea. Namaana ya kusema kuwa yatapaa juu, juu kupita milima na chini kushinda mabonde yote mlionayo kwenye Sayari hii ya dunia. Maji ya bahari yatakuja kunyanyuka na kwenda chini. Barafu yote iliyoko kenye ncha ya kaskazini na kusini ya dunia zitayeyuka. Siyo tu yatayeyuka polepole. Namaanisha yatasambaa kwa mlipuko. Yatagonga mabara. Yatagonga mabara kwa nguvu ambayo hutaamini kuwa mambo hayo yanaweza kutokea.

Fungua macho yako. Fungua masikio yako. Nyakati za kipupwe/baridi haitakuwa kipupwe/baridi. Wakati wa joto/masika haitakuwa wakati wa joto/masika. Mwanguko hautakuwa mwanguko. Kutoka korna zote za dunia, kutoka kaskazini, kutoka kusini, ktoka mashariki, kutoka magharibi, kila kitu kitapinduliwa juu chini. Hapo ndipo mtakapotambua kuwa Mimi ni Mungu wako. Mungu wako wa Mbingu na dunia. Wayote yaliyoko na yatakaye kuwapo kutoka Malimwengu hadi Malimwengu. Kutoka Mbinguni, kutoka mbinguni.

Mnisikilize Watoto Wangu. Muda umeshawekwa. Saa imekwisha chaguliwa. Sintawaambia saa. Sinta sema saa kwa yeyote. Kwani huyu ni Mungu wako. Huyu ni Mungu wako Yehova. Yehova anajua yote. Yehova anafanya yote.

Lakini sikilizeni. Sikilizeni! Leteni familia pamoja. Leta umoja, umoja katika familia. Watoto Wangu wote, Leteni kaka zeni, dada zeni, wanao wa kiume na kike, leteni pamoja. salini. Salini kwa mioyo yenu yote na kisha leteni Mwili wa Kristu pamoja. Leteni Makanisa pamoja Watoto Wangu. Acheni kugombana, acheni kubishani maneno madogo ya upuuzi au mistari michache kuhusu nani ni sawa na nani amekosea kwa sababu hakuna aliyesawa au amekosea ile Me, Baba yenu Yehova, ambaye ni Mimi Ndimi, Mimi Ndimi.

Sasa wewe tega sikio sasa! Kwa sababu mwili wa Kristu ni mkubwa sana; kuna watu wengi katika mwili wa Kristu kuzidi unavyoweza kuhesabu. Lakini Mnisikilize Mimi. Hii ni muhimu sana. Wewe unaweza kuwa kwenye Mwili wa kristu na bado ukashindwa kufika.

Kwani? Kwa sababu ya kifua chako. Unakimbia kimbia hapa na pale na kifua chako mbele na ukijidhania kuwa wewe ni mtukufu sana, yakuwa wewe ni mkubwa sana. Lakini nakuambia wewe, kifua chako hicho kitakupatia shimo (la jehanamu). Kifua hicho kikubwa kitakupatia Shimo (la Jehanamu). Majivuno hayo kujikweza huko. Majivuno hayo kujikweza huko. Majivuno hayo, kujikweza huko, majivuno na kijikweza huko mliyonayo ninyi Wakristu. Mnajiona kuwa mko juu kuliko Mwenyenzi. Kitakacho wapatieni ni shimo.

Sikilizeni! Mjinyenyekeshe wenyewe. Mjinyenyekeshe wenyewe. Muwe wanyonge/wanyenyekevu. Muwe kama Kristu. Mnapokutana na tatizo fikirini je, Yesu katika hali hiyo angeli fanya nini. Yesu angelifanya nini katika hali hiyo? Msijisifu. Msijisifu. Midomo yenu mikubwa haitawapatia chochote ila shimo, shimo, shimo (la jehanamu).

Mnisikilize Mimi. Mnisikilize Mimi. Sitaki yeye kati yenu ajikweze. Nachukia hayo. Oo hamjui jinsi gani inavyo ni sumbua, unaposimama pale nakujivuna na kukaa pale nakutabiri na hukuhujui hata chembe cha unachokiongea. Na unakaa pale ukitaka watu wakusikilize wewe.

Na wengine wenu ninyi Wachungaji, Wewe mtu Mnavyo ni gadhibisha. Wewe mtu mnavyo ni ghadhibisha. Majivuno hayo! Kujikweza huko! Kijana, Mnavyo ni ghadhibisha, Ninatamani nije pale chini nikafunge kinywa chako hapo hapo kwa zipu. Lakini najua wakati wako utakapo fika Nitakushughulikia. Kumbuka hicho. Wakati wako utakapofika nitakushughulikia. Kumbuka wakati wako utakapofika nitayashughulikia hayo.

Na ninyi watu, Wakristu Wangu. Nawapendeni Ninyi. Oo, mtu! Ninavyokupenda! Kijana, laiti ungelitambua jinsi ninavyokupenda. Mnisikilize, Sipendi kumpoteza hata mmoja wenu. Hata mmoja. Hata mmoja. Nawapendeni sana.

Oo, lakini sikilizeni. Mjinyenyekeshe wenyewe. Wekeni masikio yenu ardhini. Sikilizeni, pimeni, hukumuni kila moja wa hao Manabii. Hukumuni kila mmoja wa hao Manabii, kweli Sali, Sali, na usali kweli. Nami nitamtuma Roho Mtakatifu Naye atawaambia nani anasema kweli na nani hasemi kweli. Nitaweka ile cheche moyoni mwako nanyi mtamfuata yule wa kweli, lakini sikilizeni, sikilizeni.

Wale wanaosimama na kupayuka na kutamba kuwa wanajua yote, utaweza kuwajua. Kwa sababu nina namwambia Roho Mtakatifu sasa hivi dakika hii kuwa aweke hiyo moyoni mwako. Ilimuweze kutambua kati ya Mchungaji mwema na mbaya kwa sababu muda unazidi kwisha kabisa. Wakati unazidi kuwa haba sana.

Na Shetani, Ibilisi, atajitahidi kukazana sana kuanzia sasa. Kuanzia Desemba 2, Kuanzia Desemba 2, Atajitahidi kwa kwa uweza wake wote na nguvu zake zote kuwanasa. Atawashurutisha kufanya maasi.Atawatupieni vitu mbali mbali. Atawatupieni uwasherati usoni mwenu. Atajaribu kuvunja familia, zaidi ya alivyo fanya hapo awali.

Nisikilizeni Mimi. Nisikilizeni Mimi. Mji umarishe wenyewe. Muwe ndani ya Neno Watoto Wangu. Muwe ndani ya Neno Watoto Wangu. Huyu ni Baba yenu. Baba wa wote. Mnisikilize Mimi Watoto wangu. Nawapenda. Nawapenda. Oo, Watoto Wangu, laiti mungelifahamu ni upendo kiasi gani nilionao kwa ajili yenu. Lakini Naelewa. Naelewa kiasi cha ubaya na dhuluma zilizoko duniani. Naelewa zaidi ya mnavyo dhania.

Lakini sikilizeni. Niko pale pamoja nanyi na Ninaenda kuwalindeni. But listen. I am there with you na ubwa mwitu. Nakwenda kuwalindeni kutoka kwa mbweha. Nakwenda kuwalindeni na Wachungaji waovu. Nakwenda kuwalindeni na Manabii wabaya manabii wa uwongo.

Ndyo, Watoto Wangu, Mnisikilize Mimi. Roho Mtakatifu anafanyakazi kati yenu. Anaunda na kurekebisha makanisa yote sas hivi. Anatuma neno hapa na pale. Anatoa ishara hapa na pale. Anabadilisha sheria. Anabadilisha jinsi watu wanavyo fikiria kwa sababu na kusanya kundi Langu pamoja. Nawakusanya pamoja kwa sababu wakati unakuja. Wakati unakuja kwa ambako kila kitu kitatupwa kwenu. Namaanisha kila kitu. Hata siki ya maji. Hata sinki ya maji. Kisha zaidi. Kisha zaidi.

Wengine wenu watakwenda kuuawa. Wengine wenu wata kwenda kuuawa kwa sababu kwa ajili Yangu. Mnisikilize Mimi. Mnisikilize Mimi. Nyakati zitakuja kuwa ngumu. Nyakati zitakuja kuwa ngumu. Mmekuwa mkistarehe. Mmekuwa mkistarehe kwa sababu Najua yajayo. Najua yajayo.

Mnisikilize mimi Watoto Wangu. Unakuja wakati. Unakuja wakati ambako itakuwa vigumu sana kujiita Mkristu. Itakuwa vigumu sana kujiita Mkristu kwa sababu hujui utaongea na nani. Hutajua utaongea na nani kwa sababu ikiwa utaongea na mtu mwengine asiye husika akisikia kuwa wewe ni Mkristu, unaweza kuuawa. Unaweza kuuawa. Na utajaribu kukinga watotonwako. Utaogopa kwa ajili kuwahofia watoto wako.

Lakini sikilizeni, msijali kama watawaueni. Kwa sababu wakiwaueni mtakwenda Nami Mbinguni. Ikiwa utafanya kwa ajili Yangu, utakuja kwenda Mbinguni. Nitawatumieni Manabii fulani. Hawa Manabii watawaambieni. Watawaambieni ukweli na mtajua kuwa wanawaambieni ukweli.

Ndiyo. Ndiyo. Ndiyo. Mtajua weza kujua. Mioyo yenu itakuja kujua. Naam, Watoto Wangu, salini. Ingieni vyumbani mwenu, fungeni milango kwani hali ya hewa itabadilika. Majira itakuja kubadilika. Wengine wenu hamtakuwa na nyumba kwa sababu ya yale majira…..hali ya hewa …..vimbunga. Machafuko ya hali ya hewa na kadhalika na kadhalia. Mtaishi navyo.

Kwa sababu nilichokisema, nilichokisema miaka mingi iliyopita wakati Adamu na Hawa walipochagua kuniasi. Tendo lililoniumiza vibaya sana. Ninyi hamjui ni jinsi gani tendo hilo lilivyo niumiza. Ninyi hamtaweza kuelewa maumivu, masikitiko, mahangaiko niliyokuwa nayo baada ya kuona yale niliyo ya ona. Lakini muda umewadia, muda umewadia niliosema kupitia kwenye Biblia kwa miaka mamia na mamia na maelfu na maelfu iliyopita.

Lakini sikilizeni. Sikilizeni. Nikopamoja nanyi. Nikopale. Nikopale. Achana na kila kitu isipokuwa Baba yako aliye Mbinguni.Huyu ni Baba yako. Ambaye ni Mimi Ndimi. Mimi Ndimi. Mimi Ndimi, Mimi ndimi, Kamwe usisahau, Kamwe usisahau. Baba aliye Mbinguni, hata ikitokea nini. Uje kamwe ukamsahau Baba kwa sababu kupitia kwa Yesu Yeye ni Wokovu wako. Kupitia kwa Yesu yeye ni Wokovu wako.

Mwangalie Yesu. Yesu ni Mwokozi wako. Alikufa kwa ajili yako. Alikufa kwa ajili yako. Anapigana kwa ajili yako hivi sasa. Anapigana kwa ajili yako hivi sasa. Lakini kumbuka, Kurudi kwake kwa mara ya pili unakuja pia. Natuma nyota. Ninatuma kipande cha nyota. Iko angani. Iko angani. Kama utaangalia, kama utaangalia kwa makini sana, kama utaangalia kwa makini sana, utaiona. Utaiona baada ya muda mfupi sana ujao.

Utaiona wakati wowote. Na hiyo niishara. Na hiyo ni ishara ya mambo yale niliyoyasema ya kuwa ya tatokea. Yatakuja kutokea. Yatakuja kutokea. Kutakuwa na ishara nyingine nyingi Watoto Wangu. Fungua tu yale masikio na macho yenu. Tazameni angani. Tazameni angani. Tazameni hali ya hewa. Watazameni kaka na dada zenu.

Na watazameni wale ambao hawatakuja pamoja nami. Wao watawapeni ishara pia. Watawaonyesheni nini ambacho hamtakiwi kufanya. Watawaonyesheeni nini ambacho hampaswi kufanya. Kwa maana Nimesha watengea mahala pao. Inaniumiza hata ile kusema tu, au kuwaza tu, ya kuwa nitampoteza hata moja tu.

Lakini Mimi Nafahamu yajayo. Najua yajayo na Nafahamu nini kitokee Watoto Wangu, Watoto Wangu. Sielewi niwaambie kwa njia ngapi au kwa njia ngapi niwaonyesheni lakini tayari najua nani atakuja. Ninafahamu tayari. Imekwisha kuandikwa kwa wale watakao kuja. Wengine hata kuzaliwa bado hwaja zaliwa.

Lakini sikilizeni, sikilizeni. Kila Neno Nililolinena litakuja kutokea. Kila herufi ya kila Neno nililolisema litakuja kutokea. Hakuna katika Ulimwengu huu kitakacho badililisha nilicho waambia leo, nilicho waambia leo, haijalishi alicho waambia mchunga. Bila kujalisha wanacho sema Wanathologia wale. Hata Neno! Hata Herufi moja ya yale Niliyowaambia itapita bila kufahamu kuwa huyu ni Baba. Hyu ni Baba yenu wa Mbinguni. Kwani binadamu hawezi kupadilisha nilicho kiweka kwenye mwendo. Binadamu hawezi kubadilisha nilicho kiweka kwenye mwendo.

Wanaweza kupanga wanaweza kuchambua, wanaweza kuchambua wanachotaka lakini yote watakachopata ni shimo. Hiyo itakuwa zawadi yao kwa kwenda kinyume na Baba yao. Kwani Baba yao aliwaonya. Aliwaonya kupitia miaka hiyo yote, kupitia kwenye Biblia, kupitia kwa Manabii wao lakini wao walikuwa vipofu, walikuwa viziwi.

Yote nitakayo waambia Watoto Wangu, Yote nitakayo sema kwenu ni kuwa mwangalieni Yesu. Mwangalieni Yesu. Mwangalieni Yesu Kristo. Mwangalieni Yesu Kristo wa Nazareti. Mwangalieni Yesu wa Nazarti. Mwangalieni Yesu wa Nazareti. Mwangalieni Roho mtakatifu. Mwangalieni Roho Mtakatifu. Mwangalieni Roho Mtakatifu na hapo Mtanipata Mimi. Mtanipata Mimi. Mtanipata Mimi. Mimi ni Yehova. Mimi ni Yehova. Mimi ni Yehova. Mimi ni Yehova. Mimi ni kila kitu. Mimi ni kila kitu kilichokuwepo, kilichoko, na kitakacho kuwepo. Na hakuna kitakacho weza kamwe kubadilisha hicho. Maneno ya Binadamu hayataweza kubadilisha hayo. Kumbukeni hayo mioyoni mwenu. Kumbukeni hayo mioyoni mwenu Watoto Wangu.

Na kumbukeni haya, kumbukeni kuwa Nawapenda ninyi, haijalishi kitatokea nini, hata ikitokea nini, hataiki tokea nini. Msisahau Mshahau Baba yenu wa Mbinguni. Kwani nawapendeni sana.

Kumbukeni Maneno haya. Someni Midomo Yangu. Someni Midomo Yangu. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Mimi Ndimi, Mimi ndiyo Ndimi Ndiye, Ndimi Ndiye. Huyu ni Baba yenu. Huyu ni Baba yenu wa Mbinguni. Nawaambia Nawapenda ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Nawapendeni ninyi. Ndimi Ndiye, Ndimi Ndiye, Ndimi Ndiye Yohova, Ndimi Ndiye Yehova, Ndimi Ndiye Yehova. Nawapendeni. Nawapendeni. Nawapendeni. I love you. I love you. I love you. Ndimi Ndiye Yehova, Ndimi Ndiye Yehova, Ndimi ndiye Yehova. Ndimi Ndiye Yehova. Ndimi Ndiye Yehova.

Kumbukumbu ya Masomo yaliyotokea:

1. Matayo Sura ya 22,23,24,25,

2. Waefeso Sura ya 6

3. Ufunuo Sura ya 22

4. Marko Sura ya 7

5. Kitabu/Waraka wa Yakobo

6. Kitabu/Waraka wa Kwanza wa Petro

7. Kitabu/Waraka wa Warumi

8. Luka Sura ya 21

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.