35. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 29 Januari 1991.

Niliona kilele cha mlima kikiwa cheupe kwa barafu na tai mweupe akiwa amekaa juu yake. Kisha tai yule aliruka akiwa amechukua kitabu kikubwa. Tai yule alikuwa na aina fulani ya kitufe lililomzunguka ilikumkinga. Kulikuwa na vitu vibaya vilivyokuwa vinajaribu kumwangusha yule tai lakini yeye aliendelea kuruka kwa kasi ile aliyoanza nayo. Alivyokuwa anaruka akawa anakusanya majina ya Wakristu waliokuwa wanaokolewa. Aliendelea kuruka kuizunguka dunia, na alivyokuwa anaruka ndivyo kitabu kilivyoendelea kukua kwa ukubwa au kilikuwa kinaendelea kujazwa majina. Kisha maono yakasimama.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.