37. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 9 Februari 1991.
Niliona farasi mkubwa mweupe mwenye mabawa akiruka juu angani. Ilipofika chini iligonga dirisha kubwa nakuingia ndani. Vioo vya dirisha ilivunjika vipande vipande na kuruka kila upande. Kisha farasi yule akaanza kutembea kila mahali ndani ya chumba kile. Kisha kutoka nje simba mwenye vichwa viwili aliingia nyuma ya farasi yule mwenye mabawa. Mmoja ya vichwa vyake kilikuwa kuchwa cha simba dume. Sikuweza kuona kichwa cha pili kama kilikuwa cha simba dume pia ua simba jike.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )