38. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 10 Februari 1991.

Bwana alinipa Unabii huu wakati wa Ibaada ya Jumapili. Naakaniambia niweke kwenye gazeti la "The Contra Costa Times", niliweka naikatangazwa kwenye gazeti hilo kwa mwezi.

Nyongeza: Nilikanya sana na Muungano wa Wachungaji wa kanisa la "Four Square " ambalo mimi ni mumini wake, kwa kuweka tangazo hilo kwenye gazeti pamoja na kuwa niliiweka kwa gharama zangu mwenyewe. Niliamriwa niiondoe kwenye gazeti hilo haraka amazivyo nisingeli ruhusiwa kuingia huko kanisani. Kwa kuwa niliagizwa na Bwana Mwenyewe siku iondoa na ikaendelea kutangazwa kwa mwezi mzima.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.