39. Unabii aliopewa Raymond Aguilera mwisho mwa mwaka 1991 katika lugha nbeni na Kiingereza.

Watoto Wangu angalieni Mwanga, Angalieni Mwanga. Mwanga kutoka mashariki. Mwanga kutoka mashariki. Mwanga utapaa juu kama roketi na kulipuka.

Mwanga kutoka mashariki utalipuka, angalieni mwanga, angalieni mwanga italipuka, kutoka kwake, atatokea Mwana wa Mtu, aamtu atakuja kama farasi mweupe, Mwana wa Mtu.

Mjihadhari, Mjihadhari na Mpinga Kristu, Mpinga Kristu, mashariki, anglieni mashariki, angalieni angani, Watotot wangu. Angalieni angani, kama roketi angani. Angalieni angani kama roketi angani ita lipuka, italipuka.

Kisha Mwana wa Mtu atakuja, kama Farasi mweupe akiruka angani. Mnisikilize, Watoto Wangu. Mnisikilize Watoto Wangu. Kitakacho tokea kita tokea.

Mnisikilize Watoto Wangu, Mwana wa Mtu, Mwana wa mtu, Farasi mwenye mabawa mweupe, Farasi mwenye mabawa meupe, lakini mtaona farasi mwekundu, na farasi mweusi, na farasi mwenye rangi ya kijivu jivu.

Mnisikilie Mimi, Watoto. Minisikilize, Mnisikilize Kwani iko njiani, kwani iko njiani. Angalieni roketi angani. Angalieni roketi angani kwani italipuka ikitokea mashariki, ikitokea mashariki.

Nimuhimu! Angalieni angani, Angalieni angani, Angalieni angani, Watoto Wangu, kwa ajili ya Mwana wa Mtu, kwa ajili ya Mwana wa Mtu, Kwa ajili ya Mwana wa mtu, Kwa ajili ya Mwana wa Mungu.

Nawapendeni, Watoto Wangu, Nawapendeni, Farasi mwenye mabawa meupe, Farasi mwenye mabawa meupe. Yuko hapa.

Mnisikilize Mimi. Mnisikilize Mimi. Huyu ni Yehova, Huyu ni Yehova, Nawapendeni, Nawapendeni.

Tubun Tubuni, dhambi zenu, tubuni dhambi zenu, Watoto Wangu. Tubuni, kwani roketi, kwani roketi itakuja kutoka mashariki, kwani roketi itatokea mashariki, kisha matajua, kisha mtajua.

Mtamwona Farasi mweupe mwenye mabawa, lakini kumbukeni farasi mwekundu, Farasi mweusi, Farasi wa kijivu jivu, Simba mwenye vichwa viwili.

Mnisikilize Mimi, Mnisikilize Mimi, imeanza, imeanza, kwa sababu Nawapenda ninyi, Nawapenda ninyi kwa moyo wangu, kwa Nafsi Yangu, zaidi ya mnavyo weza kudhania.

Nawapendeni, Nawapendeni, Nawapendeni, Najaribu kuwa onya. Fungueni macho yale, fungueni masikio yale. Nawapendeni. Nawapendeni, Nawapendeni, Nawapendeni, watot Wangu, Farasi mweupe, Farasi mweupe, Mtafuteni Farasi mweupe, farasi mweupe.

Yeye ni Wokovu wenu, mtafuteni Farasi mweupe mwenye mabawa. Chombo, roketi kutoka mashariki, kutoka mashariki italipuka angani, italipuka angani, angani, kisha mtafahamu kuwa Mimi ni Baba yenu.

Mimi ni Baba yenu. Mgeukieni Yesu, tubuni, tubuni, kwani Mimi ninawapenda, kwani Ninawapenda,

Huyu ni Yehova. Huyu ni Yehova. Huyu ni Yehova. Nawapendeni, Nawapendeni, Nawapendeni Watoto,

Tubuni, Tubuni, Nitakuwa pamoja nanyi. Nitakuwa pale. Nitakuwa pale pamoja nanyi Watoto Wangu, Msijali, msijali, msijali.

Hili ni onyo. Hili ni onyo. Acheni masikio yenu wazi, macho yale yawe wazi kwani nawakusanya kundi langu pamoja. Nawaleta kundi Langu pamoja.

Wasikilizeni Manabii, Wasikilizeni Manabii, Wasikilizeni Manabi, kwani Mpinga Kristu, Mpinga Kristu. Yuko pale pia, lakini fungueni masikio yale.

Acheni yale masikio wazi, Watoto Wangu, kwani roketi kutoka anga za mashariki inaanza kutokeza lakini Farasi mweupe, Farasi mweupe kutoka mashariki. Farasi mweupe mwenye mabawa, atawalinda, pamoja na simba mwenye vichwa viwili, pamoja na simba mwenye vichwa viwili.

Loo Watoto, Loo Watoto, Upendo huo, Neema hiyo, Amani hiyo. Mjitayarishe kwa upendo wa Kristo, kwa upendo wa Kristo, kwani yuko hapo.

Tubuni, ungama dhambi zenu, leteni kanisa pamoja, kwani Nawapenda ninyi. Nawapenda ninyi. Nawapenda ninyi. Nawapenda ninyi. Nawapenda ninyi. Nawapenda ninyi. Nawapenda ninyi. Nawapenda ninyi.

Huyu ni Yehova. Huyu ni Yehova. Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi. Mimi ni Yahwe. Mimi ni Yahawe. Mimi ni Yahwe. Mimi ni Yahwe.

Angalieni nyota, Angalieni Nyota, Angalieni nyota, kwani mtaona dalili, angalieni nyota kwani mtaona dalili, angalieni chombo kutoka mashariki, kutoka mashariki, kutoka mashariki, kutoka mashariki, inatokea mashariki.

Chombo kinachotokea mshariki. Mjiweke ndani ya Biblia, mjiweke ndani ya biblia, muisome, muijifunze, someni na mjifunze, mkaribieni Kristu, mfalme wenu

Huyu ni Baba yenu. Huyu ni Baba yenu. Nawapendeni. Nawapendeni. Nawapendeni. Nawapendeni Watoto Wangu, kamwe msisahau hayo.

Nawapendeni. Nawapendeni. Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi. Mimi Ndimi. Mimi ni Yehova, Mimi ni Yehova. Nawapendeni, Nawapendeni, Nawapendeni.

Huyu ni Yehova. Mimi ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi. Mimi ni Yahwe. Mimi ni Yahwe. Mimi ni Yahwe. 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.