40. Unabii, Maono na Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Aprili 1992.
Maono:
Naona wingu jeupe.
Maono:
Maono ya sanamu ya ki-Misri ikiwa imelala chini. Kisha ikanyanyuliwa juu, lakini nilikuwa naweza kuona tu kuanzia miguuni kwenda chini.
Unabii:
Misri inafufua moja ya miungu yao.
Maono:
Maono ya kaburi lililojengwa kwa mawe au zege kisha ardhi ikatikisika na lile jiwe au kaburi lililojengwa likavunjia katikati
Unabii:
Mimi nilivunja kaburi.
Unabii:
Gog na Magog; "Mwanzo."
Maono:
Mlipuko wa kinuklia
Maono:
Mlima Sayuni ukiwa na mwanga mweupe juu yake. Kulikuwa na miali au nyota nyingi kuzunguka kwenye kilele cha mlima zikiwa kama sehemu ya robo tatu kutoka chini kwenda kileleni. Maono yakabadilika kuwa mlima ule ule, lakini kwa wakati huu kulikuwa na upinde wa mvua kuzunguka mlima kwa chini. Kasha kwa ghafla upinde ule wa mvua uka ruka juu kutoka chini ya mlima hadi pale palipokuwa na zile nyota au miali myeupe.kwenye ule mlima mwingine.
Mount Zion
Tukio:
Kasha lugha yangu ya maombi ikaanza kutoa sauti KUBWA ya kelele na kilio. Kisha mimi nikaanza kutikisika kwa nguvu ya ajabu sana.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )