41. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 26 Aprili 1992 katika lugha ngeni isiyoeleweka, na kisha katika lugha ya Kihispania.
Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Huyu ni Baba yenu. Baba yenu anataka kuwaambia ukweli. Mtakuja kwa sababu Mimi na sema ukweli. Siku inakuja ambayo nimekwisha waambia, kwa sababu nilichosema ni ninyofu, nilichosema itakuja kutokea. Mnisikilize kwa masikio yenu. Muone kwa macho yenu kwa sababu siku inakuja, wakati niliowaambia.
Inabidi msome, inabidi mjifunze ninachosema kwa sababu hakuna hata mmoja awezaye kuyabadilisha maneno Yangu. Harakisheni! Harakisheni! Harakisheni, kwa sababu yatakayotokea yatawatishe ninyi. Itawatisha wakazi wote wa dunia kwa sababu hakuna atakayeweza kubadilisha ninayo sema. Ninachosema kitatendeka, Maneno Yangu yote, niliyokuwa nayasema yatakuja kutokea.
Duniani, Watu, Marais, na watu wote wanaoishi duniani, watakuja kutishika, kwa sababu Mimi ni Baba wa kila kitu. Baba wa dunia, wa Mbinguni, wa kila kitu kilichopo na kitakachokuja kuwepo. Mimi Ndimi. Mimi Ndimi. Mimi Ndimi nitakaye kwenda kufanya kila kitu nilicho kisema, miaka mingi iliyo pita miaka mingi iliyo pita, miaka mingi iliyopita. Kwa sababu nimekuwa nikiwa ambieni, kwa miaka mingi, mingi mingi sasa. Ninyi mekuwa viziwi, na vipofu na hamnisikilizi Mimi.
Siku sasa inakuja ambayo nimewaelezeni ninyi. Inabidi muwe tayari kwa sababu shetani yuko na atafanya juu chini awapate ninyi. Inabidi msikilize maneno ya Biblia kwa sababu anataka kuwala ninyi. Mniangalie Mimi! Mnitafute Mimi! Ombeni, kwa sababu wakati unakuja. Uko hapa! Imeanza! Nawelezeni kabla haijaanza. Inabidi msome na mjifunze, mjifunze kila kitu ninacho waambieni.
Hakuna atakaye weza kukudhuru kwa sababu najua yote yale yatakayotokea, Reymundo. Mnitafute! Mniangalie! Mnitafute! Mimi niko hapa! Tazama, inabidi muwe wanyofu, kwa sababu kila ni kilicho changu ni kinyoofu. Mnitafute Mimi, Mimi niko pale. Nisemesheni, Mimi niko pale kila kitu kilichoko na kitakacho kuwapo. Mimi niko pale, hakuna kitakacho tokea bila Mimi kukifahamu ni kitu gani, kwa sababu Mimi ni Mungu wa yote.
Imekwishaanza, Reymundo, tazama angani, tazama angani kwa sababu ina kuja, nyota ile niliyokuambia, mjitayarishe, mjitayarishe, ombeni, na tena ombeni sana. Nilicho kisema kunakuja kuwa, wakuamini au wasikuamini hilo siyo jambo muhimu, kwa sababu nilicho kisema kitakuja kuwa, waamini au wasiamini, ni aibu gani, ni aibu, ni aibu gani.
Muda unakuja, ambao niliwaeleza baba zenu, Mababu zenu, na Mababu wa Mababu zenu. Hapa inakuja wakati, Oo ni aibu gani Reymundo, kwa sababu ni Viziwi, na Vipofu, lakini itakuja kutokea. Itakuja kutokea. Hapa inakuja wakati. Wakati wa Yesu, wakati wa Yesu, wakati wa Yesu unakuja. Uko hapa! Uko hapa!
Huyu ni Baba yenu. Huyu ni Baba yenu. Hayo ni yote ninayoweza kusema. Baba yenu husema kweli tu. Anajua kila kitu. Anafanya kila kitu kwa sababu Roho Mtakatifu anakueleza, anauambia Mwili wa Kanisa la Kristu. Kwa sababu wakati uko hapa sasa, Roho Mtakatifu yuko pale.
Anakwenda kukuonyesha, lakini utakuja kutishika. Kila mmoja atakwenda kutishika, lakini inabidi kumwamini Yesu, Yesu, Baba na Roho Mtakatifu. Nakupenda wewe. Nakupenda wewe. Nakupenda wewe. Nakupenda wewe, lakini uwe imara, uwe imara Mwanangu. Mimi niko pamoja nawe, uwe imara. Huyu ni Baba yako. Huyu ni Baba yako.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )