42. Unabii huu ulipew Raymond Aguilera tarehe 30 Aprili 1992 sa 10:30 usiku. Katika lugha isiyoeleweka na katika lugha ya Kiingereza.

Kutakuwapo wa kati wa njaa kali juu ya dunia hii. Kila kitu nilichokisema kitakuja kutimia. Msalaba wa Mbingu unakuja duniani kama nilivyosema, angalia, sikiliza, na ujifunze Ray. Msalaba wa Mbinguni unakuja duniani, kwani nilichokisema kitakuja kutimia. Lakini wewe na familia yako mko pamoja Nami, Kwani Mimi nawalinda Manabii Wangu, Mitume Wangu, na familia zao, kwani kuja kwa Mwokozi kumewadia. Watu inawalazimu kufungua macho yao na masikio yao na wawasikilize Manabii kwani wakati wa mateso umewadia. Wachezaji wana majukumu yao, jukwaa limekwisha kuwekwa tayari. Na wakati utatokea, ambapo mwezi na jua utakuwa kwenye mstari mmoja na nyota Yangu, Nyota ya Daudi.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.