Sehemu hii ya sauti 47
imehaririwa (kufupishwa) na kuwa ya kama dakika 0:51 au (104 KB) kutoka kwenye habari yenyewe ya kwenye mkanda wangu mdogo wa kurekodia sauti ya dakika 3. Kwanza fanya majaribio kutoka: sound.htm kuona kama mitambo yako ya kutoa sauti inafanya kazi sawasawa. Kuna sauti ya kukwaruza kwenye kanda au faili hii. Unabii huu uko katika lugha ya Kiingereza, Kihispania na lugha isiyoeleweka. Soma ujumbe wa hapa chini wakati unaposikiliza mkanda huu wote ili uweze kupata matokeo mazuri.Ili kusikiliza mkanda huu unatakiwa uwe na Kadi ya sauti,
na Modamu ya 14.4 au 28.8 kwenye kompyuta yako. Ili kupata "the RealAudio
Player" ya kusikilizia mkanda huu kama haipo kwenye kompyuta yako, bonyeza
kwenye kitufe hiki.
47. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 7 Mei 1992, saa 8 usiku katika lugha ya Kiingereza na Kihispania, Lugha isiyoeleweka.
Kiingereza:
Milango ya Wafaransa itafunguliwa baada sauti ya king’ora cha hatari. Na king’ora kitalia wakati ishara ya msalaba angani itakapo waonyesheeni. Paris haitakuwa tena Paris. Alama ya nguruwe na chui wa asia (Taiga) mwenye meno makali yaliyochongoka watakapo mg’ang’ania nyigu. Ole na iwe kwa dunia. Ole na iwe kwa dunia kwa vipofu, kwa viziwi. (Lugha isiyoeleweka)
Kihispania:
Fensi.
Kiingereza:
Bakuli ya rangi ya machungwa itamwagwa mchana wa adhuhuri wakati ambapo paka na panya watakapopanda na kuingia kwenye kapu moja. (Lugha isiyoeleweka?)
Kihispani:
Tazama huyo anakuja nguruwe.
Kiingereza:
Nitalionyeshea Taifa la Israeli Wimbo wa Daudi kwa kishindo kikubwa na kwa nguvu za kipekee.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )