66. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 27 Mei 1992 saa 4 jioni.
Nashindwa kuielezea, Niliona mwanga kama wa radi katika roho au katika mwili. Nilikuwa nikiomba huko nimejilaza nakupumzika. Kisha niliona kitu kama mwanga ukigonga mikono yangu niliyokuwa nimeiweka pamoja katika hali ya maombi, kisha mwanga huo uligonga mdomo wangu. Ilikuwa cheche ya mwanga wa kitu kama radi uliopita kwa sehemu ndogo ya sekunde. Sielewi maana yake.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )