80. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 7 Juni 1992 saa 4 asubuhi. Jumapili.
Wakati wa ibada Kanisani, niliona mlipuko mwingine wa kinuklia. Niliona mlipuko wa kwanza ukitokea Paris, kisha nikaona mlipuko mwingine mahala pengine. Nadhani milipuko itakuwa miwili. Mlipuko wa pili niliouona Bwana alinifunulia kuwa utatokea Dunkirk. Sielewi mji huo uko wapi katika ramani ya dunia ila niliuona mlipuko huo.


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )