|
1047.
Vision given to Raymond Aguilera on 11 May 1997. A vision of part of the Pacific Rim geological plates the area between Washington, Oregon and Northern California they looked like they were ripping apart or separating. (over) Vision: Then I saw a river of lava and above the river of lava, I saw Three Ringing Golden Bells. Then the Lord instructed me to also Anoint with oil Mt. Lassen, Crater Lake, and Mount Saint Helens.
|
1047. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Mai 1997. Maono ya mwamba au sayani inayoshikilia sehemu ya Bahari ya Pasifik unaoitwa “The Pacific Rim geological plates” ulioenea kuanzia la eneo kati la Washington, Oregon na Kalifornia ya kaskazini ilikuwa inaonekana kama inaachana au inachanwa. (Mwisho) Maono: Kisha nikaona mto wa matope ya volkano na juu ya mto huo niliona Kengele Tatu za Dhahabu zikiwa zinalia. Kisha Bwana akaniagiza kuwa niweke Wakfu kwa mafuta Eneo la Mlima Lassen, Kreta ile iitwayo “Crater lake”, na Mlima wa Saint Helens.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )