|
1051. Prophecy given to Raymond Aguilera on 28 May 1997 at 6:56 PM. in Spanish. Look My son, it is not important how you look. And it is not important, that you place your photograph (web site #1050 Occurrence) in what happened. What is important is; what you did! It is not important to Me, what you look like. I know, that you believe that you are a little over weight (little fat), but to Me it is not important. People who see things like this; do not see with the eyes of God. They see with the eyes of the world. That is why, I am telling you not to place your photograph (in #1050 Occurrence); for I like what I see. Did you hear Me, Reymundo? I know that the devil was hitting you, when you were writing about, when you went to the mountains. But this minute - the devil is crying. For he knows, and I know; what you did with the Oil. I give you My Thanks - for doing what I told you. I know, that you do not understand what happened, but it is not important if you understand it or not. What is important is; that you did it! For you have the Love of God from the top of your head to the bottom of your feet. Oh - the things We could do, if We had more soldiers, who did what I told them. But that is not important, for all will go how I said it, in My Word - to the Point! All is going to happen to the Point. Hurry - rest! I know, that you are tired. Until another day, I will call you with the Lips of God, My beloved. (over)
|
1051. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 28 Mai 1997, saa 12:56 mchana katika lugha ya Kihispaniola. Angalia Mwanangu, siyo la maana kujua wewe una sura gani. Na wala siyo la maana iwapo utaweka picha yako (kwenye ripoti #1050 ya Unabii huu) kwenye Matukio yaliyo tokea. La maana ni; kile ulichokifanya wewe! Kwani Kwangu Mimi si la maana kujua wewe una sura gani. Mimi najua wewe unaamini kuwa wewe unajiona kuwa mnene kidogo, lakini Kwangu Mimi hiyo siyo la maana. Watu wanaoona mambo kwa jinsi hiyo; hawaoni kwa macho ya Mungu. Wao wanaona kwa macho ya kidunia. Hiyo ndiyo maana, Mimi nakuambia kuwa usiweke picha yako (katika Matukio hayo # 1050); kwani Mimi napenda hicho ninacho kiona. Je, umenisikia, Reymundo? Mimi najua kuwa shetani alikuwa akikugonga gonga; wakati ule ulipokuwa ukiandika habari hiyo kuhusu ile safari yako ya kwenda kule Mlimani. Lakini kwa dakika hii – shetani analia. Kwa maana yeye anajua, Mimi najua; kile ulicho kifanya kwa Mafuta yale. Mimi nakupa Shukrani Zangu – kwa kufanyia kile ulicho kifanya. Mimi najua kuwa wewe hujui lolote na kile kilicho tokea, lakini hiyo siyo la maana iwapo wewe unaelewa au lah. La maana ni kuwa wewe ulifanya! Kwa maana wewe una Upendo wa Mungu kutoka juu ya kichwa chako hadi kwenye vidole vya miguu yako. Looh – kazi ambayo tungelienda kufanya kama tungelikuwa na askari zaidi (wa aina hiyo), ambao wanafanya kile Mimi nilicho waambia fanye. Lakini hilo silo la maana; kwani mambo yataenda tu, kama Mimi nilivyosema katika Neno Langu – kwa Uhakika! Yote yanaenda kutokea kwa Uhakika. Harakisha – ukapumzike! Mimi najua kuwa wewe umechoka. Hadi siku nyingine, nitakuita kwa Midomo ya Mungu; Mpendwa Wangu. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )