1080. Prophecy given to Raymond Aguilera on 25 July 1997 at 6 AM.

The Lord gave me a Word for someone who lives in Australia. He or she is on our e-mail list. I do not know who it is, but he or she sent some money to cover some of the expenses for this Israel mission trip.

The Lord said, "I am going to bless you, and I LOVE YOU!" (over)

Comments:

On this man or woman from Australia, the Lord somehow showed me His Love for this person. It was so BEAUTIFUL, PURE, AND CLEAN; it made me want to cry. This event was indescribable. (over)

1080. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 25 Julai 1997 saa 12 asubuhi.

Bwana alinipa Neno kwa ajili ya mtu fulani anayeishi kule Australia. Huyo mwanaume au manamke yuko kwenye listi ya Barua pepe yetu. Mimi simfahamu mtu huyo, lakini mtu huyo alinitumia fedha kwa ajili ya kugharimia sehemu ya safari yetu ile ya kwenda katika nchi ya Israeli.

Bwana akasema, "Mimi nitaenda kukubariki, na NINAKUPENDA WEWE!" (Mwisho).

Ilani:

Bwana alinionyeshea Upendo Wake kwa mtu huyo. Ulikuwa ni KITU KIZURI SANA, ILIYO KUWA HAINA MAWAA, NA KISAFI, ilinifanya nitake Kulia. Tukio hilo lilikuwa la ajabu sana. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.