|
1084.
Vision given to Raymond Aguilera on 26 July 1997 at 3:30 AM. I see an image of Jesus Christ walking behind a light complexioned man with reddish-brown hair, and kind of balding on the top, with a mustache. This man is somewhere in his forty’s. (over) |
1084. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 26 Julai 1997 saa 9:30 usiku. Mimi naona sura ya Yesu akiwa anatembea nyuma ya mtu ambaye ana ngozi nyeupe hivi akiwa na nywele ambazo zina uwekundu wa udongo, na akiwa anaanza kutokwa na upara, huku akiwa na ndevu za aina ya mustachi. Mtu huyo anaonekana kuwa mwenye umri wa miaka ya arobaini hivi. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )