1086. Prophecy given to Raymond Aguilera on 26 July 1997 at 8:17 PM.

Mister Juan Lopez, and Peter Sanchez, from Argentina. The Lord says, "Be careful, be righteous and the Lord will be with you. For the cross that you bear will be lifted, but you must stay in prayer, and you must seek righteousness in the mind, and your spirit will reveal your blessing in the coming months, in the coming years." (over)

1086. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 26 Julai 1997, saa 2:17 usiku.

Ndugu Juan Lopez, na Petro Sanchez, wa nchi ya Argentina. Bwana asema, "Muwe waangalifu, muwe waadilifu Naye Bwana atakuwa pamoja nanyi. Kwa maana msalaba ule mnaoubeba utaondolewa, lakini inawalazimu ninyi mdumu katika maombi, na mtafute uadilifu katika mawazo, na roho zenu zitaonyesha baraka zenu katika miezi zijazo, katika miaka ijayo." (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.