1088. Vision given to Raymond Aguilera on 27 July 1997 at 3:45 AM.

A vision of a dark black hill or a mountain with a hole on top of it, with a river of flowing bones, skulls, and arms. They were bleach white, and coming out of the top of the hill. (over)

1088. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 27 Julai 1997, saa 9:45 asubuhi.

Maono ya mlima mweusi wenye giza au mlima uliokuwa na shimo juu yake, ukiwa na mto uliokuwa unamiminika mifupa, mafuvu, na mifupa ya Mikono. Mifupa hiyo ilikuwa imekauka na kuwa nyeupe kabisa, na yalikuwa yanamiminika kutoka juu ya mlima huo. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.