1096. Vision:

I see a saucer shape with a black candle holder underneath with a lit candle. And the Candle was heating up the saucer shape as it moved from side to side over the flame. (over)

1096. Maono:

Mimi naona kitu chenye sura ya kisahani kikiwa kipo juu ya mshumaa uliokuwa unawaka ambao umewekwa juu ya kishikizo cha mshumaa cheusi. Na mshumaa huo ulikuwa unaichemsha kitu hicho chenye sura ya kisahani na kitu hicho kilikuwa kinaenda kushoto na kulia juu ya moto huo wa mshumaa. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.