|
1105.
Vision given to Raymond Aguilera on 30 July 1997 at 3:25AM. The Lord gave me a vision of a shuttlecock, that is used in badminton except the image of the planet earth was the end of the shuttlecock. (over) |
1105. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 30 Julai 1997 saa 9:25 usiku. Bwana alinipa maono ya mpira wa manyoya, ule ambao unatumika katika mchezo wa Badminton isipokuwa ile sehemu ya mpira wa mpira huo wa manyoya ulikuwa ndiyo dunia yetu hii. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )