1121. Occurrence given to Raymond Aguilera on 3 November 1997 at 9:15 AM. to 9:00 PM.

After sending out Prophecy #1120 (the prophecy about Bill Gates), even though it only took a few minutes to receive it. Somehow those minutes of receiving it; left me totally exhausted. I only had enough strength to update my web site, and to send it out to the people on our e-mail list.

I do not understand why at times, there is such a physical drain on my body, when some of these prophecies come to me. I have no idea if other prophets experience the same. I was totally exhausted after this Occurrence. My physical strength went to an all time low. After I sent it out, and placed it on the web site; I went back to bed. It was only about 10 or 11 o'clock in the morning, but I felt like I had worked 20 hours. I stayed pretty much in bed most of the day until about 4 PM. Then I started feeling very depressed. So I decided to get dressed and go to a movie. I remembered, the difficulty of getting out of my car, and walking from the parking lot to the movie theater.

As I sat there thinking of what had happened that morning, and wondered how all of this was changing my Christian walk. I remembered how easy life was before the Lord started speaking to me, and what I had learned and experienced the past eight years.

The movie started, and it was getting interesting, and I began to forget everything that had happened that morning. When all of a sudden the movie camera broke, and the film started flicking. The lights came on, and a employee from the theater told us that the movie could not be completed. Then the manager gave us all a free movie pass for the next showing at 7 PM..

I was very disappointed, and I worked my tired body back home. I laid down once more, but this depression would not leave me. All I seemed to do was toss and turn on my bed until about 6:45 PM. At this point, I made my mind up to get out of bed and go back to the movie theater. So once more, I got my tired body out of the car and made my way back to the theater. By the time I got there, the movie had already been running for about ten minutes. Well, I once again, I forgot about my morning occurrence, and got into the movie plot again. Then the theater lights came on, while the film was still running! Then the lights went off; and the curtains closed, then they opened, then the film stopped! Then the lights went back on, then off, everything went crazy! Finally the film, curtains, and lights settled down, and I saw the rest of the movie, and I went home.

As I drove home, I began to wonder if this was all because of the earlier (#1120 and #1121) Prophecies, and began to pray to the Lord for help. (over)

1121. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Novemba 1997, saa 3:15 asubuhi hadi 3:00 usiku.

Baada ya kutuma Unabii #1120 (kuhusu Bill Gates), ingawaje ulinichukua dakika chache tu kuupokea. Kwa namna fulani dakika hizo za kuupokea ujumbe huo; iliniacha nikiwa nimechoka sana. Mimi nilipata nguvu kidogo tu; ya kuweka mambo mapya kwenye mtandao wangu, na kutuma yale mambo mapya ya kwenye orodha ya watu walioko kwenye Barua pepe yangu.

Mimi sijui ni kwanini wakati fulani mimi huishiwa na nguvu mwilini mwangu mara nipokeapo unabii fulani fulani za huduma hii. Mimi sielewi kama Manabii wengine nao wanapatwa na mambo kama hayo. Mimi niliishiwa kabisa na nguvu baada ya kutukio hilo. Nguvu zangu za kimwili ziliisha kabisa kabisa. Baada ya mimi kutuma ujumbe huo, na kuuweka kwenye mtandao; mimi nilirudi kulala tena. Ilikuwa bado ni muda wa saa 4 au 5 hivi ya asubuhi, lakini mimi nilikuwa najisikia kama mtu aliyefanya kazi kwa muda wa masaa 20. Mimi nilibaki humo kitandani hadi saa 10 jioni. Kisha nikaanza kujisikia kukosa raha. Kwahiyo mimi nikaamua kuvaa nguo zangu na kwenda kuangalia sinema. Nakumbuka jinsi nilivyo pata taabu sana kutoka kwenye gari langu, na kuanza kutembea kutoka kwenye mahali pa kuegeshea gari langu hadi kwenye ukumbi ule wa sinema.

Wakati nikiwa nimekaa pale nikitafakari yale yote yaliyotokea asubuhi ile; na jinsi mambo hayo yanavyo badilisha njia zangu na mtazamo wangu kuhusu Ukristo. Nakumbuka jinsi maisha yalivyokuwa marahisi kabla Bwana hajazungumza nami, na yale mambo niliyo yajifunza katika muda huo wa majuma manane yaliyopita.

Sinema ile ilipoanza; nakuanza kuvutia, mimi nikaanza kusahau kila kitu kile kilichotokea asubuhi ile. Mara mashine ya kuonyesha sinema hiyo ikawa imeharibika ghafla, na sinema ikaanza kuzima na kuwaka. Taa za kwenye ukumbi huo wa sinema mara zikawashwa, na wahudumu wa ukumbi huo wakatuambia kuwa sinema hiyo haitaweza kuendelea tena. Naye meneja wa sinema hiyo akatoa tiketi za bura kwa kwa watu wote waliokuwa wanaangalia sinema ile kwa ajili ya kuingia sinema inayofuata ya 1 jioni ya siku ile ile.

Mimi nilikuwa nimechukia sana, nami nikaurudisha mwili wangu ule uliokuwa umechoka sana hadi nyumbani. Nilipofika tu nyumbani nikajilaza tena kitandani kwa mara nyingine, lakini huko kukosa raha haikuweza kuniachilia. Mimi nilichokuwa naweza kukifanya ilikuwa nikuzungusha zungusha mwili Wangu humo kitandani hadi saa 12:45 jioni. Mimi wakati huo nikaamua kunyanyuka kutoka pale kitandani na kurudi kwenye ukumbi wa sinema ile tena. Kwahiyo kwa mara nyingine tena nilipofika kwenye sehemu ya kuegeshea magari, mimi nikaukokota mwili wangu uliokuwa umechoka sana nje ya gari langu hilo na kujivuta kurudi kwenye ukumbi wa sinema ile. Nilipofika pale, sinema yenyewe ilikuwa imekwisha anza kwa muda wa karibu dakika kumi zilizopita. Naam, mimi kwa mara nyingine, nikasahau mambo yale yaliyonitokea asubuhi ile na kuzama kwenye sinema ile tena. Kisha taa za ukumbi huo za sinema ziliwashwa, wakati filamu hiyo bado ikiwa inaendelea! Kisha taa zikazimika; na pazia ikafungwa, na kisha ikafunguliwa na mara sinema ile ikazimika! Na kisha taa zikawashwa tena, kisha zikazimwa kila kitu kikawa kama kimechanganyikiwa! Mwishoni, ile filamu pamoja na pazia na taa zikawa zimekubali nami nikaona sehemu ile ya sinema iliyobaki na kwenda zangu nyumbani.

Nikiwa ninaendesha gari langu kurudi nyumbani nikaanza kufikiria kama hayo yote yametokana na kupokea ujumbe wa Unabii wa mwanzo (#1120 na #1121), na kuanza kumwomba Bwana kwa ajili ya kupata msaada. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.