|
1123.
Prophecy given to Raymond Aguilera on 14 November 1997 at 8:30 PM. During this Communion prayer from the above Occurrences, we also prayed for Carl's church, The Vineyard church of San Francisco. Because it's membership was way down from +700 down to about +300. Then the Lord said, "I am going to prune it back because I have given them many Words and Prophecies, and they did not do what I asked." (over) |
1123.
Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 14 Novemba 1997, saa 2:30 usiku. Wakati wa maombi ya Komunio kutokana na Matukio hayo; sisi pia tuliomba kwa ajili ya kanisa la rafiki yangu Carl, Kanisa lile linaloitwa “Vineyard church” ya jiji la San Francisco. Kwa sababu waamini wake wamepungua kutoka zaidi ya 700 hadi kiasi cha zaidi ya 300. Bwana akasema, "Mimi naenda kuzidi kuipunguza kwa sababu Mimi nimewapa wao Maneno Mengi pamoja na Unabii, lakini wao hawajafanya kile nilicho waagiza kufanyia." (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )