|
1124.
Occurrence given to Raymond Aguilera on 14 November 1997 at 11:00 PM. Well, after returning late from Carl's house, I logged on the Internet and checked my e-mail. I found an e-mail from someone, who wanted me to give him an interpretation of a dream he had had. He gave me the link to his web site, so I proceeded to check it out. I normally do not have the time to surf the Net or check out web sites, but somehow I was still overwhelmed from what I had seen at Carl's house. So, I found myself reading his dream, but it did not have as much effect on me as his links page of other web sites. I found myself being led by the Lord through links on his links page, and there I found a link and clicked on it and found it to be an End Times Ministry Church web site. There wasn't anything there that caught my eyes except their awards page. This web site had many, many Internet awards on it. Then the Lord led me to e-mail him this e-mail. ************************************************************ Subj: I love you Brother XXX XXXX! Date: 97-11-15 02:38:00 EST From: ReyAgu To: END T MIN Hello brother XXX XXXX, I was led to your web site by the Lord, and I was wondering of what value are all your web site awards in Heaven. I hope you do not lose your focus. yours in Christ, Raymond Aguilera ****************************************************** From the Words about the Vineyard Church and the above web site, all that came to my mind was the Lord is going to clean-up His House. (over) |
1124.
Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 14 Novemba 1997, saa 5:00 jioni. Naam, baada ya kurudi na huko nikiwa nimechelewa kutoka kwenye nyumba ya Carl, mimi nilifungua mtandao Wangu wa Barua pepe na kuangalia kama kuna barua zozote kwenye matandao Wangu. Mimi humo nilikuta Barua pepe fulani kutoka kwa mtu aliyetaka mimi nimpe ufafanuzi wa ndoto yake fulani. Yeye alinipa anwani ambaye ingenipeleka kwenye mtandao wake huo, kwa hiyo mimi nilifungua mtandao huo ili niweze kuona kuna nini humo. Kwa kawaida huwa mimi sina wakati wa kuangalia angalia mitandao ya watu wengine, lakini kwa namna fulani mimi bado nilikuwa nimezidiwa na yale niliyoyaona kule kwenye nyumba ya Carl. Kwa hiyo mimi nikajikuta nikisoma ndoto yake hiyo, lakini ndoto hiyo haikunisisimua kama yale mengine niliyoyaona kwenye mtanado ambao umeunganishwa na anwani yake hiyo; na humo nilipoifungua nilikuta mtandao wa “Huduma ya Kanisa la mambo ya Nyakati za Mwisho”. Humo hapakuwa na lolote lililonivutia isipokuwa kwenye ukurasa wa vyeti au sifa ambazo mtandao huo imetunukiwa. Kisha Bwana akaniongoza nimtumie Barua pepe hiyo ifuatayo. ************************************************************ Somo: Mpendwa Ndugu XXX XXXX! Tarehe: 15 -11 – 97 saa 8:38:00 usiku ya wakati wa EST Kutoka kwa: ReyAgu Kwa: END T MIN Mpendwa Ndugu XXX XXXX, Mimi niliongozwa kwenye matandao wako na Bwana, nami nilikuwa na fikiria kuwa je, zawadi na ushindi huo unaopewa sijui itakuwa na dhamani kiasi gani huko Mbinguni. Natumani hutapoteza umakini wako (wa lile lililo la msingi) Wako katika Kristo, Raymond Aguilera ****************************************************** Kutokana na maneno kuhusiana na kanisa la Vineyard na mtandao uliopo hapo juu, yote yaliyonijia kwenye mawazo yangu ilikuwa ni kuwa Bwana anaenda kuisafisha Nyumba yake. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )