|
1126.
Vision given to Raymond Aguilera on 23 November 1997 at 10:45 AM. During prayer, the Lord gave me a vision of a fox. Then I saw a Knife come down from Heaven and cut off half of the fox's left ear. (over) |
1126. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 23 Novemba 1997, saa 4:45 asubuhi. Wakati wa maombi, Bwana alinipa maono ya mbweha. Kisha nikaona kisu kikija kutoka Mbinguni na kukata nusu ya sikio lake la kushoto. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )