1127. Vision given to Raymond Aguilera on 28 November 1997 at 8:35 AM.

The Lord gave me a vision of a tree. As I watched the large tree, the ground was removed from under the tree, where I could see all of it's roots.

Vision:

Then the Lord gave me a vision of ship, but on this ship there was another ship. It was a vision of a ship within a ship. (over)

1127. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 28 Novemba 1997, saa 2:35 asubuhi.

Bwana alinipa maono ya mti. Nilivyokuwa ninauangalia mti huo mkubwa, ardhi iliyoko chini ya mti huo ikaondolewa, kiasi ambacho nilikuwa naweza kuona mizizi yake yote.

Maono:

Kisha Bwana alinipa maono ya meli, lakini juu ya meli hiyo kulikuwa na meli nyingine. Ilikuwa ni maono ya meli iliyokuwa juu ya mweli nyingine. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.