|
1131. Prophecy given to Raymond Aguilera on 3 December 1997 at 11:30 PM. Saddam Hussein will fall with a vengeance because, he did not keep his agreement with the terrorist. This is the whole Truth, so saith Jehovah. It will happen like a person, who makes butter from milk. Remember the vision of a ship within a ship. (over) |
1131. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Desemba 1997, saa 5:30 usiku. Saddam Husseni ataanguka kwa kisasi kwa sababu, yeye hakutimiza maangano au makubaliano yake na magaidi. Huu ni Ukweli mtupu, hivyo ndivyo asemavyo Yehova. Itaenda kutokea kama mtu atengenezaye jibini kutoka kwenye maziwa. Kumbuka maono yale ya meli juu ya meli nyingine. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )