1133. Vision given to Raymond Aguilera on 7 December 1997 at 9 AM.

The Lord gave me a vision of a large Knife being sharpened on a large Stone.

Then the Lord said, "Which is more important - the Knife or the Stone?"

I didn’t know what to say. So I said, "I do not know!"

Then the Lord said, "The Stone!" (over)

 

1133. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 7 Desemba 1997, saa 3 asubuhi.

Bwana alinipa maono ya Kisu kikubwa kikiwa kinanolewa kwenye Jiwe kubwa.

Kisha Bwana akasema, "Je ipi ni  muhimu zaidi – kisu au Jiwe?"

Mimi sikujua la kusema. Kwa hiyo mimi nikasema, "Mimi sijui!"

Kisha Bwana akasema, "Jiwe!" (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.