1136. Prophecy given to Raymond Aguilera on 18 December 1997 at 1:30 PM.

During prayer the Lord gave me many visions:

Vision: A vision of a upside down tripod holding a White Sheet.

Vision: A vision of a single leather sandal with someone wearing a black sock. Then I saw a large shoe which had a long spike on the bottom of it’s heel. The spike was about 6 inches long.

Vision: The next image was of a black looking object or box. This black box had a white flag on two sides waving in the air asking for mercy, and trying to surrender. Later, the Lord told me the black box was a church. Then this missile came from the sky, and destroyed the black box with the two waving flags. Then I saw another black box with waving white flags, and the same thing happened to it. They were totally destroyed by these missiles from the sky. It looked like there was no such thing "As mercy," coming from these missiles.

After the above visions, more black boxes appeared, but they didn’t have waving flags, but some kind of protective dome surrounded them as they came under attack. These domes protected them from these bombing missiles.

Vision: Then the next vision was of a metal cooking pot being placed on top of a hot cooking stove.

Vision: Then I saw what looked like a metal medallion or broach with a figure of a cat on it. What was so unusual; it reminded me of the Ford Mercury Cat Logo that you see on their cars. It was around someone’s neck with a gold chain. What I sensed in the spirit was - that whoever was wearing this medallion had something to do with this war or it was this company, but I am not really sure. But there was some kind of association with this cat and this war, I was seeing.

Vision: Then I saw a single White Candle.

Then I heard the Lord say, "Look closely at the UN". (United Nations)

Vision: Somehow I could see the upper atmosphere of the earth. I could see that these destroying missiles were coming from what looked like circling satellites. As I looked at these attacking missiles come down, the ground forces tried to shoot them down, by shooting up larger and fatter looking missiles into the atmosphere. All of this looked like there was some kind of war going on.

Vision: The next image I saw was of a jet flying high and toward what looked like our sun or a very bright white light.

Then during this occurrence, I heard a Voice identify itself as Ruth. This reminded me of the Ruth Voice that spoke to me in the spirit in Israel. Ruth said, "Do not worry, I will be with you!"

Then the Lord said, "The songs of the dead. The songs of the dead. The songs of the dead." (over)

 

1136. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 18 Desemba 1997, saa 7:30 mchana.

Wakati wa sala, Bwana alinipa maono mengi:

Maono: Niliona maono ya stuli ya miguu mitatu iliyokuwa kichwa chini ikiwa imewekewa shiti nyeupe juu yake.

Maono: Maono ya kiatu kimoja cha aina ya malapa ya ngozi; ikiwa imevaliwa na mtu mmoja aliyevaa soksi nyeusi. Kisha mimi nikaona kiatu kikubwa iliyokuwa na msumari mrefu chini ya kisigino chake. Msumari huo ulikuwa na urefu wa inchi 6.

Maono: Maono yaliyofuata yalikuwa ni ya kitu kama sanduku au boksi nyeusi. Sanduku au boksi hilo nyeusi ilikuwa na bendera nyeupe katika sehemu zake mbili; na bendera hizo zikiwa zinajipungia hewani kama ishara ya kuomba huruma, na kujaribu kujisalimisha. Baadaye, Bwana aliniambia kuwa hiyo sanduku nyeusi ilikuwa ni kanisa. Kisha kombora fulani ikatokea angani na kuiharibu boksi ile nyeusi iliyo kuwa inapeperusha bendera hizo mbili nyeupe. Kisha mimi nikaona boksi nyingine nyeusi iliyokuwa nayo inapeperusha bendera, mara ikalipuliwa kwa kombora kama ile ya kwanza. Makanisa hayo au boksi hizo ziliharibiwa kabisa kabisa kwa makombora yaliyokuwa yanatoka angani. Ilikuwa inaonekana kama hakuna kitu kinachoitwa “Huruma”, inayo toka kwenye makombora hayo.

Baada ya maono hayo ya hapo juu, masanduku myeusi zaidi yakajitokeza, lakini havikuwa na bendera zilizokuwa zinapungia, lakini kitu fulani kama ngome au wavu yenye nusu duara ya kujihami yalikuwa yameizunguka maboksi hayo wakati yalipo kutana na mashambulizi ya makaombora hayo. Ngome hizo au nyavu hizo zilikuwa zinawalinda na makombora hayo ya adui.

Maono: Kisha maono yaliyofuta yalikuwa ni ya chungu cha kupikia la chuma ikiwa inawekwa juu ya jiko lililo kuwa linawaka.

Maono: Kisha mimi nikaona kile kilichokuwa kinaonekana kama medali ya chuma iliyokuwa na sura ya paka juu yake. Kile ambacho hakikuwa cha kawaida ni kuwa ili nikumbusha alama ya paka wa magari ya aina ya “Ford Mercury” ambayo huwa inawekwa kwenye magari yao. Kinyago hicho kilikuwa kimevaliwa shingoni na mtu fulani kwa mkufu wa dhahabu. Kile nilicho kihisi katika ulimwengu wa kiroho kilikuwa ni kuwa – huyo aliyekuwa ameivaa medali hiyo; anahusika na vita vile au hiyo kampuni, lakini mimi sina uhakika hasa. Lakini kuna uhusiano fulani kati ya alama ya paka huyo pamoja na vita vile ambavyo mimi nilikuwa ninaviona.

Maono: Kisha mimi nikaona Mshumaa mmoja Mweupe uliokuwa unawaka.

Bwana akasema, "Angalia kwa umakini UN". (United Nations – Umoja wa Mataifa).

Maono: Kwa namna fulani nilikuwa naweza kuona anga za juu ya dunia hii.  Huko nikaona makombora yaliyokuwa yanabomua vitu chini ardhini; yakiwa yanatokea kutoka kwenye kitu kinacho onekana kama chombo cha anga za juu kinachoitwa ‘satellites’; ambayo ilikuwa inazunguka angani. Nilivyokuwa nazidi kuangalia makombora hayo ya kushambulia yalikuwa yanatokea juu, majeshi ya ardhini yalikuwa yanajaribu kuyalenga na kuyalipua angani kabla hayajaleta madhara, yalikuwa yanafanya hivyo kwa kurusha makombora makubwa na manene zaidi angani. Hayo yote yalikuwa yanaonyesheka kuwa kulikuwa na vita vilivyokuwa vinaendelea hapo.

Maono: Maono yaliyofuta yalikuwa ni ya ndege aina ya jeti ikiwa ina ruka juu sana na huku ikiwa inaelekea kwenye kitu kinacho elekea kama jua letu au mwanga fulani ambao ni mweupe sana.

Kisha wakati wa Matukio hayo, mimi nilisikia Sauti iliyokuwa imejitambulisha kama Ruth. Hii ilinikumbusha Sauti ile ya Ruth ambayo ilinisemesha katika ulimwengu wa Kiroho kule Israeli. Ruth alisema, "Usijali, mimi nitakuwa pamoja nawe!"

Kisha Bwana aksema, "Nyimbo za kifo. Nyimbo za kifo. Nyimbo za kifo." (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.