|
1141. Prophecy given to Raymond Aguilera on 29 December 1997 at 6:45 PM The tower of Babel - history is repeating itself. The churches of today are building their towers of Babel, trying to reach Heaven with their doctrine, with their words. And history will repeat itself. I will STOP!, their towers of Babel, so saith Jehovah, so saith Jesus, so saith the Lord. So be it! So be it! So be it! (over)
|
1141.
Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 29 Desemba 1997, saa 12:45 mchana. Mnara wa Babeli – historia inajirudia yenyewe. Makanisa ya leo wanajijengea minara yao ya Babeli, wakijaribu kufika Mbinguni kwa kanuni zao, kwa maneno yao. Na historia itajirudia yenyewe. Mimi NITAZUIA! minara yao hiyo ya Babeli, hivyo ndivyo asemavyo Yehova, hivyo ndivyo asemavyo Yesu, hivyo ndivyo asemavyo Bwana. Na iwe hivyo, Na iwe hivyo! Na iwe hivyo! (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )