1143. Vision given to Raymond Aguilera on 11 January 1998 at8:01 AM.

I had a vision of a hand. Somehow the skin of the hand was replaced. I could see some white particles of some sort going through the veins. It reminded me the skin of a snake. (over)

 

1143. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Januari 1998, saa 2:01 asubuhi.

Mimi niliona maono ya mkono. Kwa namna fulani ngozi ya mkono huo ilikuwa imebadilishwa (ngozi ya zamani ilikuwa imeondolewa na kuwekwa nyingine). Mimi naweza kuona vitu vyeupe vikiwa vinapita ndani ya mishipa ya damu ya mkono huo. Ilikuwa inanikumbusha ngozi ya nyoka. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.