|
1144. Vision given to Raymond Aguilera on 11 January 1998 at 8:13 AM. A vision of a woman with red hair giving a man a massage. He was on top of a table. (over) Vision: A vision of many boxes or crates. They were full of human bones. And I saw a live man who looked like a skeleton placing these crates on a conveyor belt. These crates were open. (over)
|
1144. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Januari 1998, saa 2:13 asubuhi. Maono ya mwanamke aliyekuwa na nywele nyekundu akiwa anamsugua mwanamume (massage). Mwanamume huyo alikuwa yuko juu ya meza. (Mwisho) Maono: Maono ya masanduku au maboksi mengi au makreti. Yaliyo kuwa yamejazwa mifupa ya binadamu. Nami nikamwona binadamu aliyekuwa yuko hai ambaye alikuwa anaonekana kama mifupa (amekonda sana) akiwa anaweka maboksi ya mifupa hiyo juu ya mkanda unaozunga (conveyor belt) ili kuya safirisha. Maboksi hayo yalikuwa yako wazi. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )