Sound 1200

The 1200 sound clip is about 11 seconds (22 KB) from my original micro cassette recording tape. Run test first at: sound.htm to see if your sound set up works first. There is some background noise on this file. This Prophecy Sound clip is in English. Read the text below as you listen to the sound clip for best results.

A sound card, a 14.4 or 28.8 Modem on your computer, and the RealAudio Player is needed to hear the sound clip. To download the RealAudio Player click on Icon.


1200. Vision given to Raymond Aguilera on 30 August 1998 at 5:00 PM.

During prayer the Lord gave me an image of the flag of Japan. (over)

 

Sauti 1200

Sauti 1200

 Sehemu hii ya sauti 1200 ni ya sekunde kama 11 (22 KB) kutoka kwenye habari yenyewe ya dakika 24 ya kwenye mkanda wangu mdogo wa kurekodia. Kwanza fanya majaribio kutoka: sound.htm kuona kama mitambo yako ya kutoa sauti inafanya kazi sawasawa. Kuna sauti ya kukwaruza kwenye kanda au faili hii. Unabii huu uko katika lugha ya Kiingereza. Soma ujumbe wa hapa nchini wakati unaposikiliza mkanda huu wote ili uweze kupata matokeo mazuri.

Ili kusikiliza mkanda huu unahitajika uwe na Kadi ya sauti, na Modamu ya 14.4 au 28.8 kwenye kompyuta yako. Ili kupata "the RealAudio Player" ya kusikilizia mkanda huu kama haipo kwenye kompyuta yako, bonyeza kwenye kitufe hiki.


1200. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 30 Agusti 1998, saa 11 jioni.

Wakati wa maombi, Bwana alinipa maono ya bendera ya Japani. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.