|
A sound card, a 14.4 or 28.8 Modem on your computer, and the RealAudio Player is needed to hear the sound clip. To download the RealAudio Player click on Icon. 1201. Vision given to Raymond Aguilera on 31 August 1998 at 4:30 PM. The Lord gave me a vision of a running chain saw and I did not understand it. So I asked the Lord, "What is this chain saw?" Then the Lord gave me another vision of this chain saw cutting this large tree. The Lord said that the tree represented the Body of Christ. Then He said, "The tree will be cut down, but the Body will yet live!" (over)
|
Sehemu hii ya sauti 1201 ni ya sekunde kama 37 (70 KB) kutoka kwenye habari yenyewe ya kwenye mkanda wangu mdogo wa kurekodia. Kwanza fanya majaribio kutoka: sound.htm kuona kama mitambo yako ya kutoa sauti inafanya kazi sawasawa. Kuna sauti ya kukwaruza kwenye kanda au faili hii. Unabii huu uko katika lugha ya Kiingereza. Soma ujumbe wa hapa nchini wakati unaposikiliza mkanda huu wote ili uweze kupata matokeo mazuri. Ili kusikiliza mkanda huu unahitajika uwe na Kadi ya sauti, na Modamu ya 14.4 au 28.8 kwenye kompyuta yako. Ili kupata "the RealAudio Player" ya kusikilizia mkanda huu kama haipo kwenye kompyuta yako, bonyeza kwenye kitufe hiki. 1201. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 31 Agusti 1998 saa 10:30 jioni. Bwana alinipa maono ya msumeno uliokuwa unaendeshwa kwa nguvu za injini ukiwa umewashwa. Nami sikuelewa maana yake. Ndipo nikamwuliza Bwana, "Je, huo msumeno unamaana gain?" Bwana alinipa maono mengine ya msumeno huo ukiwa unakata mti fulani mkubwa. Bwana akasema kuwa mti huo unaashiria Mwili wa Kristo. Kisha akasema, "Mti utakatwa, lakini Mwili bado utaishi!" (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )