Sound 1203

The 1203 sound clip is about 44 seconds (83 KB) from my original micro cassette recording tape. Run test first at: sound.htm to see if your sound set up works first. There is some background noise on this file. This Prophecy Sound clip is in English. Read the text below as you listen to the sound clip for best results.

A sound card, a 14.4 or 28.8 Modem on your computer, and the RealAudio Player is needed to hear the sound clip. To download the RealAudio Player click on Icon.


1203. Vision given to Raymond Aguilera on 7 September 1998 at 6:30 AM.

The Lord gave me a vision of a dead fish laying on it’s side; ready to be butchered and eaten. As I saw the fish laying on it’s side on this counter top, this large knife came down to separate the head from the body. As it struck the area around the head; the knife could not cut the head off! It was hit over and over, but the head would not separate from the body. (over)

 

Sound 1203

Sauti 1201

 Sehemu hii ya sauti 1201 ni ya sekunde kama 44 (83 KB) kutoka kwenye habari yenyewe ya dakika 24 ya kwenye mkanda wangu mdogo wa kurekodia. Kwanza fanya majaribio kutoka: sound.htm kuona kama mitambo yako ya kutoa sauti inafanya kazi sawasawa. Kuna sauti ya kukwaruza kwenye kanda au faili hii. Unabii huu uko katika lugha ya Kiingereza. Soma ujumbe wa hapa nchini wakati unaposikiliza mkanda huu wote ili uweze kupata matokeo mazuri.

Ili kusikiliza mkanda huu unahitajika uwe na Kadi ya sauti, na Modamu ya 14.4 au 28.8 kwenye kompyuta yako. Ili kupata "the RealAudio Player" ya kusikilizia mkanda huu kama haipo kwenye kompyuta yako, bonyeza kwenye kitufe hiki.


1203. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 7 Septemba 1998 saa 12:30 asubuhi.

Bwana alinipa maono ya samaki aliyekufa akiwa amelala ubavu ubavu; akiwa tayari kutumbuliwa na kuliwa. Wakati As I saw the fish laying on it’s side on this counter top, this large knife came down to separate the head from the body. As it struck the area around the head; the knife could not cut the head off! It was hit over and over, lakini kicha ikashindikana kuachishwa na kichwa chake.. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.