|
1204. Vision given to Raymond Aguilera on 7 September 1998. The Lord gave me a vision of a skeleton of a fish. As I watched the skeleton of the fish in the water it began to swim. I could see the bones (it’s ribs) moving or swimming in the movements a frog makes. I am not a swimmer, but I believe they called it a breast stroke. This was a very strange vision! (over)
|
1204. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 7 Septemba 1998. Bwana alinipa maono ya samaki aliyekuwa mifupa tupu. Nilivyozidi kumwangalia samaki huyo aliyekuwa mifupa mitupu ndani ya maji, mara alianza kuogelea. Nilikuwa naweza kuona mifupa (mbavu zake) zikiwa zinaogelea kwa mwendo kama ule wa chura anaoufanya majini. Mimi siyo mwogeleaji lakini naamini unaitwa “breast stroke”. Hii ilikuwa ni maono ya ajabu! (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )