|
1205.Occurrence given to Raymond Aguilera on 3 September 1998 at 10 PM. This is an occurrence that has been on my mind since the night I arrived home from my camping trip. I had just dropped off Jerry at his home and I was almost home myself when something unusual happened. Actually, I was feeling very good, but a little tired from the long drive. I felt this long awaited peace in my spirit as I prayed most of the way home from Jerry’s house. I was driving on this four lane residential street. This street is very wide and fairly well lit. As I drove past this extremely well lit Shell Gas Station, I had only passed it a hundred feet or so, when I noticed some dark looking shadow crossing the far side of the street and heading toward the front of my car. I was not going very fast maybe 30-35 mph (the speed limit there is 40- 45 mph.). When I saw it I slowed down even slower not knowing what it was. It was larger than a cat, it moved like a cat and it sort of moved from side to side like a snake as it left the sidewalk from across the street. It was definitely not cat. It had no definite shape that I knew of. All I could see was something that looked like a dark shadow. It stopped at the center dividing island and when I got close to it from the far right hand lane it jumped in front of my car. I felt the car run over it and it got away, but to my surprise it went back under my car for some unknown reason. So I hit it directly and hard twice. I felt the wheels of the car go over it twice! I pulled my car to the side of the road and got out of my car to see what I hit. When some person appeared out of nowhere and told me to get back in my car. He said, "You will never find it, it is gone - it ran away!" This whole occurrence had me a little startled. So I took this man’s advice and left the scene of the accident. As I drove away, I began to wonder from where did this person come from. For there was no one around that I saw, and he was so intent that I not look for it. To this day, I have never seen a living creature that looked like this; except for the dark spirits that have attacked me in my bedroom on several occasions. Then, this man appeared as fast as the creature had disappeared. Very strange and it was not until this afternoon five days later, that it all came together. It was not flesh and blood that I hit on the road that night. But who was the man, who saw it all, and where did he come from? (over)
|
1205. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Septemba, 1998 saa 4 usiku. Hili lilikuwa tokeo lililo kuwa limekaa kwenye mawazo yangu; kutoka usiku ule niliporudi kutoka kwenye safari yangu ile ya kupiga kambi. Mimi nilikuwa nimemtelemsha rafiki yangu Jeri nyumbani kwake; nami nilikuwa karibu kufika nyumbani kwangu pale kitu cha ajabu kilipotokea. Kwa kweli wakati huo mimi nilikuwa ninajisikia vizuri, lakini nikiwa nimechoka kidogo kutokana na kuendesha gari kwenye hiyo safari ndefu. Mimi nilijisikia amani kuu ndani yangu ambayo nilikuwa nimeitamani kwa muda mrefu ndani ya roho yangu, huku nikiwa ninaomba kwa mwendo wote wa safari hiyo kutoka nyumbani kwa Jeri. Mimi nilikuwa ninaendesha kwenye barabra hiyo ya mitaani iliyokuwa na njia nne. Mtaa huo ulikuwa ni mpana sana na ulikuwa na mwanga wakutosha. Mimi nilipokuwa na pita eneo fulani la kuuzia mafuta ya kampuni ya kuuzia mafuta ya Sheli ambayo ilikuwa na mwanga mzuri sana, baada ya kupita kituo hicho kwa umbali wa futi mia mmoja hivi mimi niliona kivuli cheusi kikiwa kinavuka kutoka mwisho wa upande wa pili wa mtaa ikiwa inaijia gari langu kwa mbele. Mimi nilikuwa naenda kwa mwendo wa kasi cha kiasi cha maili 30-35 kwa saa hivi (kiasi cha mwendo wa juu unao ruhusiwa katika eneo hilo ilikuwa ni maili 40- 45 kwa saa). Mimi nilipoiuna kivuli hicho nikapunguza mwendo wa gari langu sana kwa vile sikujua kile kilikuwa ni kitu gani. Kitu hicho kilikuwa kikubwa kuliko paka, kilikuwa kinaenda kwa mwendo unaofanana na paka na ilikuwa inaenda kwa mwendo wa kupinda pinda kama nyoka wakati kikiwa kimeiacha kile kinjia cha pembezoni mwa barabara kutoka upande wa pili wa mtaa huo. Kwa uhakika hakuwa paka. Hakuwa na umbo lolote la kawaida ambalo ninalolifahamu. Kile ninacho weza kukiona kilikuwa ni kitu chenye umbo la kivuli cheusi. Hicho kitu au kiumbe kilisimama pale kwenye eneo lililokuwa linagawa barabara ya magari yanayoenda uelekeo wangu na yale yaliyokuwa yanaenda kinyuma na kule ninako kwenda nami nilipoikaribia nikiwa kwenye mstari wa mwisho wa upande wa barabara hiyo; kiumbe hicho mara kikaruka kutoka mwisho wa barabara upand e wa kulia na kuelekea mbele ya gari langu. Mimi nilijisikia kama nimekigonga kwa gari langu hilo, nayo mara kikawa kinaonekana kama kimeondoka, lakini kwa mshangao wangu mara kikarudi tena chini ya gari langu kwa namna ambayo mimi sielewi. Kwa hiyo mimi nikakikanyanga mara mbili tena kwa nguvu. Mimi nilisikia kama tairi za gari langu ikimkanyaga mara mbili! Mimi nilisimamisha gari yangu pembeni mwa barabara na kutelemka kutoka; ili kuona kile nilicho kikanyaga. Ndipo mara kwa ghafla mtu fulani akatokea bila ya kujua ni wapi alikotokea na kuniambia kuwa ni rudi kwenye gari langu na niondoke. Yeye alisema, "Wewe kamwe hutakaa ukipate kitu hicho, imeenda zake – imekimbia na kwenda zake!" Tukio hilo lote lilinifanya ni shangae na kuogopa kidogo. Kwa hiyo mimi nikachukua ushauri wa mtu huyo na kuondoka kwenye eneo hilo la ajali. Nilipoondoka tu kutoka hapo; mimi nilianza kuwaza na kujiuliza kuhusu alikotoka mtu yule. Kwa maana hapa kuwa na mtu hapo niliyeweza kumwona hapo awali kabla ya hiyo ajali, naye baada ya kutokea alisisitiza sana kuwa nisimtafute kiumbe yule. Hadi siku ya leo, mimi sijawahi kuona kiumbe kilichokuwa kinafanana na hicho kiumbe nilicho mkanyaga; isipokuwa kwa mapepo wachafu ambao wamenishambulia mimi katika chumba changu cha kulala kwa nyakati kadha tofauti tofauti. Kisha mtu fulani akatokea kwa ghafla na sawasawa na kasi ya ya wale viumbe walivyo toweka. Ni kitu cha ajabu sana na sikuweza kuyaelewa hadi baada ya siku tano baadaye ndipo mambo hayo yote yalipoanza kunijia. Kwani yule kiumbe niliye mgonga pale barabarani usiku ule hakuwa ni kiumbe mwenye mwili na damu. Lakini yule mtu aliyeyaona hayo yote alikuwa ni nani na alitoka wapi? (Mimi sijui) (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )