1209. Occurrence given to Raymond Aguilera on 26 September 1998.

I have gotten many letters and e-mails from people asking me who I believed was my future wife. For years I always believed it was my special friend who I was praying for when the Holy Spirit came into my bedroom almost ten years ago. You can read about it in the testimony part on the http://prophecy.org web site. Over the years the Lord has been telling me to wait for her. For she was going to have to make a choice to obey or not. So for ten years, I have been waiting and waiting and praying to the Lord to let me out of this for I could not take it anymore. As some of you already know she decided to marry someone else last February and she told me the wedding was set for September. So in February, I started my search for the other woman the Lord has told me about in case my special friend made a choice other than me. Well, my special friend’s wedding was last Saturday the 26 September 1998.

Today is the 1 October 1998, I just got a call from my friend Jerry. Jerry informed me that my special friend’s mother was killed on the way to her wedding. Jerry believes she got married though, but she had to change the plans they had made. I am a little shocked right now, but please put this to prayer. (over)

 

1209. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 26 Septemba 1998.

Mimi nimepokea barua nyingi pamoja na Barua pepe kutoka kwa watu wakiwa wananiuliza kuhusu kile mimi ninacho dhania kuhusu ni nani atakuwa ni yule mke wangu ajayo. Kwa miaka mingi mimi nilikuwa naamini kuwa labda ni rafiki yangu fulani maalum ambaye nilikuwa ninamwombea pale Roho Mtakatifu alipokuja kwenye chumba changu cha kulala; yapata miaka kumi iliyopita. Unaweza kusoma sehemu ya kisa hicho kwenye tovoti http://prophecy.org. Kwa muda wa miaka mingi sasa Bwana amekuwa akiniambia nimkumgojee mke wangu huyo ajaye. Kwa maana huyo rafiki yangu maalum ingelimpasa aende kufanya uchaguzi wa aidha akatii au la. Kwa hiyo kwa muda wa miaka kumi; mimi nimekuwa nikimgojea na kumgojea na huku nikiwa ninaendelea kumwomba Bwana kuwa anifungue na jambo hilo kwa sababu na shindwa kungojea zaidi. Kama wengine wenu mnavyo fahamu tayari yeye alishamua kuolewa na mtu mwingine mwezi Februari mwaka uliopita, naye akaniambia kuwa harusi yao ilikuwa imepangwa kufanyika mwezi Septemba. Kwa hiyo kuanzia mwezi Februari mimi nilianza kumtafuta mchumba mwingine ambaye Bwana alikuwa ameniahidi kwa tahadhari kama huyo rafiki yangu mpendwa akiamua kumchagua mtu mwingine badala yangu. Naam, harusi ya huyo rafiki yangu ilikuwa ni siku ya Jumamosi tarehe 26 Septemba, 1998.

Leo ni tarehe 1 Oktoba 1998, mimi nilipata simu kutoka kwa rafiki yangu Jeri. Jeri alinieleza kuwa mama wa yule rafiki yangu mpendwa aliuawa wakati akiwa anaenda kwenye harusi. Jeri anaamini kuwa alikuwa amekwisha olewa hata hivyo; yeye ilibidi abadili mipango ile waliyokuwa wamefanya. Mimi kwa kweli nimepigwa na butaa na mstuko sasa hivi, lakini naomba mliwekee hili jambo kwenye maombi yenu. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.