1215. Vision given to Raymond Aguilera on 11 November 1998 at 5:00 AM.

During prayer the Lord gave me a vision of a tall high rise building. It was black with black windows. The whole outside of this building looked dark, but around it there was some sort of round halo around the middle of it. (over)

 

1215. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Novemba 1998 saa 11:00 alfajiri.

Wakati wa maombi Bwana alinipa maono ya ghorofa ndefu. Ilikuwa ina rangi nyeusi pamoja na madirisha myeusi. Sehemu yote ya nje ya jengo hilo ilikuwa inaonekana kuwa ni nyeusi, lakini kuuzunguka kulikuwa na mwanga wa mviringo kwenye eneo la katikati ya jengo hilo. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.