|
1216. Occurrence given to Raymond Aguilera on 13 November 1998 at 4:35 AM. During prayer I felt this incredible spiritual shock wave, that was going around the world. I do not know what it means, but it shook my whole body and left me traumatized . (over)
|
1216. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 13 Novemba 1998 saa 10:35 alfajiri. Wakati wa maombi mimi nilianza kuhisi mawimbi fulani mazito ya kusisimua ya kirohoni yakiwa yanaenda dunia nzima. Mimi sijui yanamaanisha nini, lakini uliutetemesha mwili wangu mzima na kuniacha nikiwa nimetishika sana. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )